Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
sasa jf ikifungiwa tutaongelea wapi hata haya tunayoyaongea?
Uhuru wa mwandishi, asilidhuru tabaka tawala.
Hukufunzwa hilo kwenye kwenye riwaya za kiswahili darasa la tano?
Kwa maana hii sio uhuru tena........
Mnapima joto la mafuta jikoni kwa kidole?Mnalo!!
Mwambie apumzike salama.
haya maneno, hata mbavu sina. Hujambo lkn?
nenda sebuleni kwenu, subiri baba yako akifanya kosa, mzabe kibao.
Si kakosea, na wewe unamfunza.
Ndugu Kongosho usifunze watu uoga hapa kwa kutetea ujinga..mara nyingi nasikia watu wakiiponda FACEBOOK hapa, lakini amini nakwambia kuwa FB kuna uhuru maradufu wa huu wa hapa JF!nenda sebuleni kwenu, subiri baba yako akifanya kosa, mzabe kibao.
Si kakosea, na wewe unamfunza.
Ndugu Kongosho usifunze watu uoga hapa kwa kutetea ujinga..mara nyingi nasikia watu wakiiponda FACEBOOK hapa, lakini amini nakwambia kuwa FB kuna uhuru maradufu wa huu wa hapa JF!
kuwa mwerevu mkuu! nyumba ya jirani ikiungua moto, huwezi kukaa na kufurahia! sijahama facebook, wala sintahama JF, ila nitapambana mpaka nione WHERE WE DARE TO TALK OPENLY inaapply hapa! hayo mawazo yako ya kitoto hayawezi kunihamisha hapa! ila nitawanyorosha wewe na waoga wenzio!!!sasa kilichikutoa kwenye uhuru na kukuleta kifungoni ni nini?
Si urudi huko?
Sijamlazimisha mtu kufuata ujinga wangu, nimetoa wazo langu.
Ila asingempiga BANN,angeitoa tu hiyo thread the mambo yangeisha salama.Pia ni adhabu tosha.Mnapima joto la mafuta jikoni kwa kidole?Mnalo!!
Mwambie apumzike salama.
Sio waoga ila kwa mfumo wa utawala wa nchi yetu mambo si salama kivileeeeeee *mistake kidogo unapigwa bonge la bao.Sijawahi kuinyaka hiyo! Kumbe hawa mods waoga kiasi hicho.
sasa jf ikifungiwa tutaongelea wapi hata haya tunayoyaongea?
Uhuru wa mwandishi, asilidhuru tabaka tawala.
Hukufunzwa hilo kwenye kwenye riwaya za kiswahili darasa la tano?
Mnapima joto la mafuta jikoni kwa kidole?Mnalo!!
Mwambie apumzike salama.
Hahahaha. . . . asante MaBa (mama/baba).
kuwa mwerevu mkuu! nyumba ya jirani ikiungua moto, huwezi kukaa na kufurahia! sijahama facebook, wala sintahama JF, ila nitapambana mpaka nione WHERE WE DARE TO TALK OPENLY inaapply hapa! hayo mawazo yako ya kitoto hayawezi kunihamisha hapa! ila nitawanyorosha wewe na waoga wenzio!!!
Ila asingempiga BANN,angeitoa tu hiyo thread the mambo yangeisha salama.Pia ni adhabu tosha.