Kikwete: The great!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Nilikuwa napuuza maneno mengi ya wana JF humu humu ndani kuwa Mods wanafuta thread zinazomhusu kikwete..lakini kuna kamtego kamoja jamaa yangu alikaweka ili kudhibitisha madai haya kakafanikiwa! aliaanzisha thread kuhusu yule mke wa pili wa kikwete! thread iliitwa MAMA MDOGO! kiukweli ilidumu kwa muda wa masaa kadhaa tu! kabla ya jamaa kupigwa BAN mpaka january 9..mods futeni ile kauli mbiu pale juu! WHERE WE DARE TO TALK OPENLY! Mods waoga sana!!!!!!
 
sasa jf ikifungiwa tutaongelea wapi hata haya tunayoyaongea?

Uhuru wa mwandishi, asilidhuru tabaka tawala.
Hukufunzwa hilo kwenye kwenye riwaya za kiswahili darasa la tano?
 
Mnapima joto la mafuta jikoni kwa kidole?Mnalo!!
Mwambie apumzike salama.
 
Ya kwangu niichangia jana tu leo asubuhi mapema nimeangalia dah post yote imen`golewa kweli JK noma
 
nenda sebuleni kwenu, subiri baba yako akifanya kosa, mzabe kibao.
Si kakosea, na wewe unamfunza.
Ndugu Kongosho usifunze watu uoga hapa kwa kutetea ujinga..mara nyingi nasikia watu wakiiponda FACEBOOK hapa, lakini amini nakwambia kuwa FB kuna uhuru maradufu wa huu wa hapa JF!
 
sasa kilichikutoa kwenye uhuru na kukuleta kifungoni ni nini?
Si urudi huko?
Sijamlazimisha mtu kufuata ujinga wangu, nimetoa wazo langu.

kuwa mwerevu mkuu! nyumba ya jirani ikiungua moto, huwezi kukaa na kufurahia! sijahama facebook, wala sintahama JF, ila nitapambana mpaka nione WHERE WE DARE TO TALK OPENLY inaapply hapa! hayo mawazo yako ya kitoto hayawezi kunihamisha hapa! ila nitawanyorosha wewe na waoga wenzio!!!
 
Sijawahi kuinyaka hiyo! Kumbe hawa mods waoga kiasi hicho.
Sio waoga ila kwa mfumo wa utawala wa nchi yetu mambo si salama kivileeeeeee *mistake kidogo unapigwa bonge la bao.
ila wapunguze adhabu kwa kufuta thread tu.
 
sasa jf ikifungiwa tutaongelea wapi hata haya tunayoyaongea?

Uhuru wa mwandishi, asilidhuru tabaka tawala.
Hukufunzwa hilo kwenye kwenye riwaya za kiswahili darasa la tano?

hahaha mboni mwenyewe sikusoma hiyo riwaya?
 
Kumbe wewe mkubwa
haya niambie umetumia nyembw ngapi mwaka huu?

Wakati ni ukuta, unataka kupambana nao?
Basi kazuie 2012 kufika.

Back
Top Bottom