Chaimaharage
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 211
- 78
Mie naona BWANA UFISADI ni jina linalo mfaa sana. Hana lolote!
mbona umesahau Mr. DhaifuLeo akihutubia wananchi wa mkoa wa kigoma Jk kasema anataka aondoke madarakani akikumbukwa kama mtu aliyefanya mambo muhimu sana katika kuliendeleza taifa hili. Kasema anapenda aondoke madrkani akiitwa Bwana Maendeleo!
Jamani kuanzia leo majina mnayomwita JK kuwa mara ni FastJet, Vasco DaGama na mengineyo muachane nayo...muanze kumuita Bwana Maendeleo!
Nawasilisha!
Kusoma awajui hata picha huoninaunagana kwa 100% kuwa jamaa amefanya maendeleo. we all know that "JK hata angefanya zuri gani sikwamba tu hampendi kulisikia bali hampendi hata kutokea kwa hilo jambo"
Mkuu hao ni watu ambao awapendi maendele ya mtu hata ukifanya nnnaunagana kwa 100% kuwa jamaa amefanya maendeleo. we all know that "JK hata angefanya zuri gani sikwamba tu hampendi kulisikia bali hampendi hata kutokea kwa hilo jambo"
Leo akihutubia wananchi wa mkoa wa kigoma Jk kasema anataka aondoke madarakani akikumbukwa kama mtu aliyefanya mambo muhimu sana katika kuliendeleza taifa hili. Kasema anapenda aondoke madrkani akiitwa Bwana Maendeleo!
Jamani kuanzia leo majina mnayomwita JK kuwa mara ni FastJet, Vasco DaGama na mengineyo muachane nayo...muanze kumuita Bwana Maendeleo!
Nawasilisha!
kama wewe ni mkweli tuwekee deni aliloliachia taifa mzee mchonga na baadaye mzee ruhsa. do not be blind.
tabu tulizonazo watanzania hajaanzisha kikwete, jamaa anajitahidi sana kubampana nazo mpaka kufikia kwenda kujidhalilisha kuomba halafu leo mnaleta nyoko zenu hapa. kwani JK angeamua tu akakaa kwani angekosa nini, sidhani kama jamaa ananjaa na dhiki kama walivyowaTZ lakini mnaishia kumtukana tu, hebu kuweni waungwana kidogo basi.
nyerere pamoja na kukaa miaka mingi ikulu ametuachia deni kubwa na huku tukivaa matairi ya magari miguuni mbona hammsemi?