kama wewe ni mkweli tuwekee deni aliloliachia taifa mzee mchonga na baadaye mzee ruhsa. do not be blind.
tabu tulizonazo watanzania hajaanzisha kikwete, jamaa anajitahidi sana kubampana nazo mpaka kufikia kwenda kujidhalilisha kuomba halafu leo mnaleta nyoko zenu hapa. kwani JK angeamua tu akakaa kwani angekosa nini, sidhani kama jamaa ananjaa na dhiki kama walivyowaTZ lakini mnaishia kumtukana tu, hebu kuweni waungwana kidogo basi.
nyerere pamoja na kukaa miaka mingi ikulu ametuachia deni kubwa na huku tukivaa matairi ya magari miguuni mbona hammsemi?
nitamkumbuka kama Rais aliyeongeza deni la taifa kutoka Trilioni 6 wakati anachukua nchi mpaka trilioni 20 so far sijui akitoka litakuwa perhaps trilioni 30Leo akihutubia wananchi wa mkoa wa kigoma Jk kasema anataka aondoke madarakani akikumbukwa kama mtu aliyefanya mambo muhimu sana katika kuliendeleza taifa hili. Kasema anapenda aondoke madrkani akiitwa Bwana Maendeleo!
Jamani kuanzia leo majina mnayomwita JK kuwa mara ni FastJet, Vasco DaGama na mengineyo muachane nayo...muanze kumuita Bwana Maendeleo!
Nawasilisha!
ZZK bana!!!! ndomana bado yuko kigoma badala yakuwepo bungeni!! yaan anataman ajiunge nao kwenye sherehe yao sema aibu tu. si ajabu kesho tutasikia walikuwa pamoja leo usiku.Hiyo ya kujiita Bwana Maendeleo si mara ya kwanza kusikia ZZK alimsifia rafiki yake JK kwa kufanya maendeleo Kigoma.
Maendeleo tuliyoyapata katika
kipindi cha Kikwete hatujawahi kuyaona kwa Marais wote waliomtangulia
hata uwachanganye na kuwajumlisha pamoja, bado.
Kikwete uko juu.
naunagana kwa 100% kuwa
jamaa amefanya maendeleo. we all know that "JK hata angefanya zuri gani
sikwamba tu hampendi kulisikia bali hampendi hata kutokea kwa hilo
jambo"
Huez kua unaishi tandale wewe ndio mana huna haya.
Atakumbukwa na mwanae riz1 kwa kumfanya kuwa billionea ndani ya muda mfupi... lakini sio sisi wananchi wa kawaida tunaonunua unga 1kg kwa 1700, bili za maji na umeme juu, umeme unaokatwa bila mpangilio, huduma duni za afya, ukosefu wa mitaji ya kujiajiri, wanafunzi kukosa mikopo, foleni zisizopata ufumbuzi... etc,
endeleeni kujifariji pale lumumba...