hapa tbc1 naona kina maginga full kumpamba mr dhaifu.
Mleta mada nae aachekupotosha.hyo tajiri wake wa kuuza pipi hawezi kuleta r.madrid.mkono wa mkulo ni mkubwa hapa.
Mh Kikwete ndiyo mkuu wa kaya hivi kwenu hakuna baba jamani,huo ni utaratibu,unafikiri angegoma mkuu wa kaya wangekuja hpa.
chuki zikizidi sana huwa ujinga!!!
Sijapotosha mkuu kilicho mfanya kikwete kua involved ni clouds fm,baada ya huyo mwarabu kuona ishu inaitaji promo kubwa hivyo alikubaliana na ruge mtahaba wagawane costs na faida 50/50 sipotoshi...Mleta mada nae aachekupotosha.hyo tajiri wake wa kuuza pipi hawezi kuleta r.madrid.mkono wa mkulo ni mkubwa hapa.
Wakuu nadhani nyote mnakumbuka kua kwenye kampeni za uraisi kikwete aliahidi kuwaleta real madrid,ni kweli veteran wa real madrid wamekuja,ila kinachonishangaza ni rais kikwete kujivisha hizi sifa kua yeye ndo kawaleta,huu ni uongo wa mchana,realmadrid wameletwa na mwarabu mwenye supermarket za tsn na wazo lilikuja baada ya jamaa kukutana na luis figo dubai wala wazo halikutokana na ahadi za raisi,
Ombi..kikwete na vyombo vya habari acheni kupotosha watu.