Kikwete saidia wanawake hawa tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete saidia wanawake hawa tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kavulata, Oct 21, 2012.

 1. kavulata

  kavulata JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 3,202
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280
  Siku moja nilisafiri kutoka mkoani kuja Dar es Salaam kwa basi, siti niliyokaa kulikuwa na mama mmoja tulikaa siti moja, njia tulikuwa tunapiga stori kwa furaha. Lakini tulipokaribia Mbezi ya Kimara yule mama akakurupuka na kutafuta lile vazi la kiislamu la kufunika uso na macho yote kwenye begi lake. Nilimshangaa kwanini alikuwa kichwa wazi safari nzima na sasa ndo anafunga qarb machoni. nilipomuuliza kulikoni akasema mume wake ndiye anamlazimisha kuvaa vazi hili, hivyo itakuwa ugonvi mkubwa kama atamkuta mumewe Ubungo stendi kumlaki. Mama alikuwa akiongea kwa uchungu juu ya vazi hili. Na si huyo tu hata rafiki yangu kwa sababu ya wivu amemlazimisha mkewe afunike uso na macho akitoka nje.

  Ombi kwa Rais na wabunge, inaonekana kuwa wako wanawake wengi na watoto wa kike wanaolazimishwa kujigubika gubigubi iwe kunajoto, jua, mawingu, mvua n.k bila hiyari yao kwa amri za waume/baba zao, jee wanawake hawa utawasaidiaje? huoni raia wako wako utumwani mwa matalibani? Bora uwepo mpango wa kuwabaini wanawake waliolazimishwa na waliovaa kwa hiyari yao.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,802
  Trophy Points: 280
  Sijui kama hili vazi ni lazima kulivaa! Labda ndugu zetu waislam watusaidie!

  Kama si lazima mume ana chofanya anamnyanyasa mkewe na kumnyima uhuru! Hapo ni sawa na mtu kulazimishwa kusali/ kuswali sehemu au dini fulani.

  Huu ni unyanyasaji!
   
 3. P

  Pa1 New Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kweli si vizuri kabisa pia nafikiri ni hatari sana maana hata majbazi hujificha kwa style hyo hiyo:thinking:
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Wacha wafu wazike wafu wao! Msiingilie dini za wenzenu. hayo yote ni mafundisho/hadith za mtume-SAW- kama hutaki badili dini.
   
Loading...