Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Dialogue ndio mpango mzima katika upatikanaji wa AMANI katika nchi hizi za mziwa makuu.... Mkuu wa Kaya amezungumza bila kumung'unya maneno!
Kikwete kaja juzi tu na nashangaa kashupaliwa sana kwa hili huyu jamaa ni kichwa maji sawa lakin si kwa hili, investigation na report ilishatolewa before na EU, UN na US. EU walisuspend assistance kwa bajet ya Rwanda, US wakasuspend hundreds of millions which ws 2b directed to Rwanda Military Academy UN wakaona ipelekwe Special Brigade under UNMOSCU kusaidia intervation itaanza kaz June/July. Nikuulize swali.. EU, US na UN wanatatizo gan na Rwanda mpka waisingizie? Rwanda inasingiziwa na Dunia nzima? Baadhi ya askar waasi tena weng waliojisalimisha na kukamatwa wametoa picture nzima ya jinsi misaada inavyotoka RPF kuwafikia waasi, UN waipotaka kupeleka drones for reconnaisance kwenye mpka wa Congo na Rwanda unajua kagame alisema nini? Alipinga kua Africa bado ni hafifu kwenye technology hiyo hivyo wataintrude uhuru wa Rwanda sasa swali linakuja kama hupitishi magendo uhuru gan utakaoingiliwa? Drone hazifiki kwenye anga la Rwanda was was wako nn? South Africa wanatengeneza drones na kulinda mipaka yao three times kwa ukubwa kwa ule wa Rwanda kwa miaka 10 sasa wangeshindwa vp kulinda kimpka kidgo cha Congo na Rwanda? Anamengi ya kuficha huyu bwana sema kajijengea heshima sna duniani hata mimi kuna mengi namheshim ispokua hili so kugundulika kua anajihusisha na mambo haram kama haya kwake ni fedheha kubwa na ndio maana anatumia diplomasia na vyombo vya nyumban kwake kujisafisha!
Huyu sidhani hata kama anajua mahusiano baina ya hizi pande mbili ki undani na ndio maana karopoka. Ukiwa unasafiri safiri ughaibuni unapata wapi muda wa kujua yanaoendelea kwako achilia mbali kwa majirani zako?
Sawa sawa, najua Kagame ana issue zake nyingine nyingi kama ulivyo eleza na si yeye, there are big guys behind, lakini kwenye hii isue ya Kikwete na ushauri wake ni hauwezekani. Wale FDLR sio watu wa kukaa nao kwa kuwa ni kundi la kivita, huwezi ambia Kagame wakae wakubaliane nini na wakati wale vita ndo maisha yao, wanakodiwa, wanatumika either na kagame or other nations etc which is a separate thing. Kikubwa ni kwamba hao jamaa ndo waliokuwa ousted na RPF na hao ndo walitaka maliza kizazi cha Tutsis.
Makundi mangapi ya kivita yamekaa chini na kukubaliana???Sawa sawa, najua Kagame ana issue zake nyingine nyingi kama ulivyo eleza na si yeye, there are big guys behind, lakini kwenye hii isue ya Kikwete na ushauri wake ni hauwezekani. Wale FDLR sio watu wa kukaa nao kwa kuwa ni kundi la kivita, huwezi ambia Kagame wakae wakubaliane nini na wakati wale vita ndo maisha yao, wanakodiwa, wanatumika either na kagame or other nations etc which is a separate thing. Kikubwa ni kwamba hao jamaa ndo waliokuwa ousted na RPF na hao ndo walitaka maliza kizazi cha Tutsis.
Perfect advise kwa Kagame? my foot! Unajua unapotoa ushauri lazima uwe unafahamu in details mgogoro ama issue yenyewe. Sasa huyu jamaa haelewi the depth ya hii issue anakimbilia kutoa ushauri ambao yuko on the fence akifikiri ataoneka amefanya kitu. it is not working on this issue.
Including viongozi wooote vyama vya siasa Afrika MasharikiMuseveni mwenyewe kwanza mambo kwake yashamuia magumu. Anataka mwanae aje awe mrithi na kuna movement kali imeanza ya kupinga hilo kwa nguvu zote ikiwemo Chief of Intelligence ambaye ameshajiuzulu na ameeleza wazi wazi kuwa hamuungi mkono hali iliyopelekea kuachilia nyuzi kwenye vyombo vya habari kadha wa kadha ambavyo vishapigwa censorship. Hili sakata la East Africa naona kama linafanana sana. Viongozi wenye uchu wa madaraka. Sio Mu7, wala mwingine yoyote. Wote wana uchu sana na madaraka.
Tatizo letu sisi Watanzania litabaki kuwa moja tu nalo ni kwamba kila mtu anatuchukulia powa tu,lakini ukweli ni kwamba Watusi wana dharau sana na wanajua kucheza na mind zetu vizuri sana in case you dont know.Wewe kama unafikiri nakutania google Rwanda then Google na Tanzania then utaona ni nchi gani imeaandikwa mara nyingi na habari zake ni nyingi kwenye google ama hata kwenye youtube. Mtu mwingine anaweza akasema kuwa eti Rwanda itaapear mara nyingi kwenye google na youtube eti kwa sababu ya habari za mauji lakini ukweli ni kwamba wala si kwa habari za maauaji hata kidogo ni habari za kuonyesha jinsi Rwanda inavosinga mbele katika kila nyanja.
Sisi watu wenye idea za uandishi tunawatoaboa macho na kuwamwagia tindikali sasa unategemea waandike nini.We must be strong brothers and sisters katika uandishi wa habari za kimataifa,lazima sehemu nyeti kama Ikulu, wizara za utalii, ulinzi hata mambo ya ndani kuwe na waandishi wazuri wanaoweza kuielezea nchi yetu vizuri, watengeneze mablog na kupost picha nzuri za Tanzania na watu wake.Bila kufanya hivo tutaendelea kuonekana kama nchi yenye jina kubwa lakini habari zake nzuri watu wa nje ya Tanzania hawazipati na kuzijua.Yaani natamani sana wapatikane watu wanaojua publilicity za kimataifa sio hawa tulionao ambao hata hawajui kuifanya website iweze kupatikana kwenye serch engine ya google.I am really tired with people who are eating the national cake but still sitting on their desk doing nothing.Nina uchungu sana napoona tunashambuliwa na kanchi kama Rwanda ambako ni juzi tu kamatujazia wakimbizi ambao walisababishwa na uroho wa madaraka wa Kagame kushindwa kunegotiate na wahutu wakaanda serikali ya bila kumwaga damu.I am tired with everything simply because watu wetu wa Tanzania hatuko responsible tunafikiria mambo mepesimepesi tu basi
Mkuu umewaza nilichowaza? Nilimua lert Salva juu ya hili muda tu humu humu jf. Sijui kama anapita. Kwingine kote kuna waandishi wa kupambana na international propaganda,yeye yupo wapi? Kalala?
Nakubaliana na wewe 100% huyo rweyemamu asije akawa one of m23 hawa jamaa wamejipenyeza sana kwenye system yetu. Kama sio basi tuone anapambana na hii propaganda ya kijinga ya m23 effectively. Hawa akina m23 ni hodari sana wa propaganda ndio maana wanafanikiwa kuendelea na udhalimu wao kwa wacongo na eneo lote la maziwa makuu.Unamaliza muda wako eti kumualert sijui Silva Rweyemamu, hakuna kitu pale wewe huoni hata directorate ya habari ambayo ipo chini yake email yake inapitia yahoo.com. How safe we are by using yahoo server kupitishia habari nyeti za nhci yetu? Tunaghitaji vijana ama watu wapya wenye muelekeo na uchapakazi na watu watakaopokea maoni na ushauri na siyo hao wanaofanya kazi kwa mazoea,juzi tu kwenye twitter tumehenyeshwa sana na M23 we acha tu.Mimi ushauri wangu wanatakiwa wapatikane watu wanaoizungumzia na kuitetetea nchi na kuongea mambo mazuri ya nchi kwenye social media kote,yaani hao watu wapo makini na kuangalia nani kapost nini kwenye youtube,twiter,facebook na kwingineko na kama kuna habari imekosewa haraka watu hao wanafanya marekebisho ama wanakanusha.Mimi am just asking my brother just tell me since hao wanyaRwanda wametushambulia kwa maneno kuna hata mtu alietokea hata kuandika mstari mmoja wa kukanusha? Kama hayupo ni kwa sababu hatujazingatia hicho nilichokuambia, hatuna watu wenye utayari na kama wapo basi idea zao zinafifishwa na watu wanaofanya kazi kwa mazoea,tubadilike maana ulimwengu umebadilika otherwise kesho usishangae tunavunjiwa heshima hata na Burundi
Wajaribu waone!apige magoti na kuomba msamaha mara moja ..kwanza wampe ultimatum akikataa washambulie tanzania