‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

Museveni mwenyewe kwanza mambo kwake yashamuia magumu. Anataka mwanae aje awe mrithi na kuna movement kali imeanza ya kupinga hilo kwa nguvu zote ikiwemo Chief of Intelligence ambaye ameshajiuzulu na ameeleza wazi wazi kuwa hamuungi mkono hali iliyopelekea kuachilia nyuzi kwenye vyombo vya habari kadha wa kadha ambavyo vishapigwa censorship. Hili sakata la East Africa naona kama linafanana sana. Viongozi wenye uchu wa madaraka. Sio Mu7, wala mwingine yoyote. Wote wana uchu sana na madaraka.
 
Av neva bn concensus with JK kwa mambo meng ila hapa sion alipokosea. Early this yr USA na EU walimwekea vikwazo Kagame kwa ushahidi kua anafadhili rebels lakin mbona hakuwaambia waombe radhi? On dat notion how should other heads apologize when they politely advise him to put efforts on the same issue? Anadhani hili taifa la wanyonge? Km atasisitiza bas ni kweli huyu mtu ni mkorofi na ni threat for regional peace! Where is TZ's Dany Yatom & Meir Dagan
 

Hilo lilikua ni moja ya mapungufu yake na hakuungwa mkono kwa hilo lakini hatuwez kutumia dat retrospective weakness kujudge his perfect advise kwa Kagame! Two incomparable incidents!
 
Dialogue ndio mpango mzima katika upatikanaji wa AMANI katika nchi hizi za mziwa makuu.... Mkuu wa Kaya amezungumza bila kumung'unya maneno!
NI KWELI, AMEONGEA VIZURI! Shida ya hao Watusti wanachopenda ni kumwaga damu tuuuu ndo mana kwao mazungumzo hawayataki!
 
Wewe Shapu, do you think properly? Mbona hizi incidences mbili hazifanani hata kidogo ndugu yangu?!! Genocide si walianzisha wao wenyewe watutsi..
 
Huyu sidhani hata kama anajua mahusiano baina ya hizi pande mbili ki undani na ndio maana karopoka. Ukiwa unasafiri safiri ughaibuni unapata wapi muda wa kujua yanaoendelea kwako achilia mbali kwa majirani zako?
kwanin asijue wakati ni mwanadiplomasia hence alikua waziri wa mambo ya nje i gec he knew what he was speaking
 
Paul Kagame is the one who brought down the plane that was carried the late Presida Habyarimana the act which ignited genocide, why Rwandese don't ask their war monger president to apologize???The number of Hutu refuges killed by Kagame in DRC following the genocide surpass the number FDLR killed in Rwanda in 1994. Why these Tutsi are shouting on our President who want to see peace and tranquility prevail in eastern DRC? Shame to all who are shouting. My President we're behind you, don't apologize, if is to apologize Paul Kagame should start.
 
No, No, I say no! Why to apologize! Kikwete's statement is just advisory to them, bearing in mind that throughout the period of 19 years the rebels are still active, and the region remain unrest. Rwandese should either accept it or not, no one will force them to accept the Kikwete's advisory nor enter reconciliation with FDLR! (many are being advised but only few benefit from it). Please Mr. President, we differ in either way within our borders but we cannot tolerant any outsiders who keep accusing our nation, for just the good things we opt to offer. On the other side, this remind us to take precaution measures when dealing with these Tutsi guys, why they always reverting back to stimulate mass killings. Damn Tutsi
 

No, this is fallacy of composition; we differ in many ways with our President, including the one you indicated, but lets put clear when there is facts, statement by Kikwete is the facts and only advisory to them. How can we always keep our ears busy listening to bad news from eastern Congo; all the days? If Rwanda have enough power, they better attack them to end their existence, if not then let negotiation table takes its way. For this matter, I beg to stand with president Kikwete' position and nothing called apologize forever! Coming back home, CCM failed to run this country.
 

OMG!! More often than not: I wish my Jetset President JK would hold his mouth in check an iota to buy time for his handlers to conduct a snap study of a situation at hand before going kaboom Bang bang!!

JK has to learn to preach what he practices; lead from the head and not the tail!!

When did he know that negotiations are a worthy investment to ask Rwanda and Uganda to negotiate with armed groups; whereas he can not do the same to his poor unarmed subjects in Mtwara and Lindi regions who are agitating only due to economic marginalisation.
 
Rekebisha na grammar yako pia, otherwise put in swahili.Naona wengi wanamuunga Kikwete mkono hapa watakuwa Wahutu na familia ya Habyarimana.
 

My brother, i am very sure you dont have an idea of what transpired in Rwanda during the genocide. RPF is the current arm of Rwanda under Kagame, the army which was ousted was pushed to DRC where rwandan government believes (and ofcoz the fact )that they were the one wanted to exterminate the tutsis. Now to rwandan gvt they are terrorist. The issue in question now is Kikwete telling them to sit with those terrorist and have agreement. That is what can never happen to rwandan government and that is the fact kikwete doesnt want to understand. Those people infact are wanted by the genocide court and kikwete was to tell them or assist on how to capture them. you dont negotiate with terorists.
 
Wewe Shapu, do you think properly? Mbona hizi incidences mbili hazifanani hata kidogo ndugu yangu?!! Genocide si walianzisha wao wenyewe watutsi..

We kweli ndo huelewi, yaani genocide walianzisha wa-tutsi?? iweje then waje wafight for their existance. Do you know kwamba watutsi ni wachache sana na Hutus ndo wengi? sasa wataanzishaje genocide.

Kukusaidia ni kwamba baada ya jeshi la kagame kuchukua nchi jeshi la serikali iliyokuwepo ilikimbilia drc, kwa sasa hawathubutu kurudi maana watawekwa kwenye sheria ndo maana wameamua kukaa msituni na kui-disturb drc. Sasa Kikwete anavyomwambia Kagame akae na hao magaidi ama wahalifu wa mauaji ya kimbari ni kama ku-negotiate na jambazi kitu ambacho rwanda inalalamikia. Rwanda inataka hao jamaa washikishwe adabu na si vinginevyo. Ndo maana hata hela zilizoibwa EPA hatuja ona watu wakishikishwa adabu kisawasawa, watu wanaomba warudishe....what the hell?
 
Hilo lilikua ni moja ya mapungufu yake na hakuungwa mkono kwa hilo lakini hatuwez kutumia dat retrospective weakness kujudge his perfect advise kwa Kagame! Two incomparable incidents!

Perfect advise kwa Kagame? my foot! Unajua unapotoa ushauri lazima uwe unafahamu in details mgogoro ama issue yenyewe. Sasa huyu jamaa haelewi the depth ya hii issue anakimbilia kutoa ushauri ambao yuko on the fence akifikiri ataoneka amefanya kitu. it is not working on this issue.
 
Jk kichwa chake sijui kikoje asicheze kabisa na hawa rwanda ..kadhalikishwa sana katika hili jambo
 
No apology at all_ Mr.President.

They either take it_or_go to hell...pambafuuuuuuuuuuuuuuuu zao.
+1000.

kabisaaa

yaani sisi tuapologize kwa rwanda? wale wakimbizi wao tumewaweka Kigoma, tumewalisha miaka yote hiyo alafu sasa hivi wanatuona sisi wabaya kutoa maoni yetu..shenzi kabisa.

alafu baadae watakuja kuomba ardhi yetu..shenzi.
 

they( Kagame and co) are carrying out a systematic genocide whilst playing the victim card. They can go to hell.
 
+1000.

kabisaaa

yaani sisi tuapologize kwa rwanda? wale wakimbizi wao tumewaweka Kigoma, tumewalisha miaka yote hiyo alafu sasa hivi wanatuona sisi wabaya kutoa maoni yetu..shenzi kabisa.

alafu baadae watakuja kuomba ardhi yetu..shenzi.

Umeona hawa Watutsi walivyo na shukran ya punda_yaani yooooote tuliyowatendea kwa wema wanataka kutudharau......shenzi zao.
 

Kikwete kaja juzi tu na nashangaa kashupaliwa sana kwa hili huyu jamaa ni kichwa maji sawa lakin si kwa hili, investigation na report ilishatolewa before na EU, UN na US. EU walisuspend assistance kwa bajet ya Rwanda, US wakasuspend hundreds of millions which ws 2b directed to Rwanda Military Academy UN wakaona ipelekwe Special Brigade under UNMOSCU kusaidia intervation itaanza kaz June/July. Nikuulize swali.. EU, US na UN wanatatizo gan na Rwanda mpka waisingizie? Rwanda inasingiziwa na Dunia nzima? Baadhi ya askar waasi tena weng waliojisalimisha na kukamatwa wametoa picture nzima ya jinsi misaada inavyotoka RPF kuwafikia waasi, UN waipotaka kupeleka drones for reconnaisance kwenye mpka wa Congo na Rwanda unajua kagame alisema nini? Alipinga kua Africa bado ni hafifu kwenye technology hiyo hivyo wataintrude uhuru wa Rwanda sasa swali linakuja kama hupitishi magendo uhuru gan utakaoingiliwa? Drone hazifiki kwenye anga la Rwanda was was wako nn? South Africa wanatengeneza drones na kulinda mipaka yao three times kwa ukubwa kwa ule wa Rwanda kwa miaka 10 sasa wangeshindwa vp kulinda kimpka kidgo cha Congo na Rwanda? Anamengi ya kuficha huyu bwana sema kajijengea heshima sna duniani hata mimi kuna mengi namheshim ispokua hili so kugundulika kua anajihusisha na mambo haram kama haya kwake ni fedheha kubwa na ndio maana anatumia diplomasia na vyombo vya nyumban kwake kujisafisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…