Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.
Ndibalema, ndo kusema hufai kuwa kiongozi? Au ulikuwa unamaanisha kitu kingine? pls
nasikia kaoa kwa zakhia meghji na kwa asas wa iringa mwenye kiwanda cha maziwa hivi karibuni. Wenye habari wathabarishe zaidi.kwani jk ana mke mwingine zaidi ya saaaliiiiiiiimaaaaaaaaaaaaa? Hebu tuhabarishe wengine tusiojua.
Kwani JK ana mke mwingine zaidi ya Saaaliiiiiiiimaaaaaaaaaaaaa? Hebu tuhabarishe wengine tusiojua.
nimesikitishwa sana kuona zakia meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale bot kupitia kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya dittoille de touch akasema pesa zilichukuliwa kwa shughuli maalumu ya serikali. Kwa mara ya pili alipohojiwa akasema amepotoshwa na aliyekuwa gavana mr balali. Hivi kweli raisi haoni aibu kufanya kazi na mtu ambaye cv yake chafu namna hiyo? Kwani hakuna watanzania wengine?
nasikia kaoa kwa zakhia meghji na kwa asas wa iringa mwenye kiwanda cha maziwa hivi karibuni. Wenye habari wathabarishe zaidi.
Kama atamweka EL, ndio tutaona Elnino Tanzania, gharika hiyo yaja
Hili si jipya masikioni mwangu, kwamba kachukua kitu kwa jamaa wa asas, lakini sijui uhusiano wa huyu mama na asas labda wenye dataz mtujuze, ma-GREAT THINKERS Pliz.
subiri atakapotangaza baraza la mawaziri ndio hatajionea vituko, yaani akina el, ra na chenge wamejipangia wizara wenyewe watakavyo. Hakuna kitu, mvinyo ule ule katika chupa mpya!!!!
Hakuna cha elninho wala chochote kitakachotokea.
Watanzania ni wapole mno.
Hata tufanyiwe nini hatufanyi chochote.
Nimesikitishwa sana kuona Zakia Meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale BOT kupitia Kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya Dittoille de Touch akasema pesa zilichukuliwa kwa shughuli maalumu ya serikali. Kwa mara ya pili alipohojiwa akasema amepotoshwa na aliyekuwa Gavana Mr Balali. Hivi kweli raisi haoni aibu kufanya kazi na mtu ambaye cv yake chafu namna hiyo? kwani hakuna watanzania wengine?