Elections 2010 KIKWETE: Rais asiyeona aibu kutembea na uchafu

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Nimesikitishwa sana kuona Zakia Meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale BOT kupitia Kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya Dittoille de Touch akasema pesa zilichukuliwa kwa shughuli maalumu ya serikali. Kwa mara ya pili alipohojiwa akasema amepotoshwa na aliyekuwa Gavana Mr Balali. Hivi kweli raisi haoni aibu kufanya kazi na mtu ambaye cv yake chafu namna hiyo? kwani hakuna watanzania wengine?
 
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.
 
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.

Ndibalema, ndo kusema hufai kuwa kiongozi? Au ulikuwa unamaanisha kitu kingine? pls
 
Nikuulize swali bwana matawi.
Kwa mfano wewe ungekuwa rais na mama mkwe wako anahitaji umteuwe awe mbunge hebu niambie ungemtosa?
Usifanye mchezo na mama mkwe wewe.

Kwani JK ana mke mwingine zaidi ya Saaaliiiiiiiimaaaaaaaaaaaaa? Hebu tuhabarishe wengine tusiojua.
 
hivi hii nchi haina watu walioenda shule na waadilifu wakumsaidia Mkuu, au ndiyo yale yale ya mwnenye nacho huongezewa zaidi na asiyenacho/maskini ...........................................!
 
kwani jk ana mke mwingine zaidi ya saaaliiiiiiiimaaaaaaaaaaaaa? Hebu tuhabarishe wengine tusiojua.
nasikia kaoa kwa zakhia meghji na kwa asas wa iringa mwenye kiwanda cha maziwa hivi karibuni. Wenye habari wathabarishe zaidi.
 
nimesikitishwa sana kuona zakia meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale bot kupitia kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya dittoille de touch akasema pesa zilichukuliwa kwa shughuli maalumu ya serikali. Kwa mara ya pili alipohojiwa akasema amepotoshwa na aliyekuwa gavana mr balali. Hivi kweli raisi haoni aibu kufanya kazi na mtu ambaye cv yake chafu namna hiyo? Kwani hakuna watanzania wengine?

subiri atakapotangaza baraza la mawaziri ndio hatajionea vituko, yaani akina el, ra na chenge wamejipangia wizara wenyewe watakavyo. Hakuna kitu, mvinyo ule ule katika chupa mpya!!!!
 
nasikia kaoa kwa zakhia meghji na kwa asas wa iringa mwenye kiwanda cha maziwa hivi karibuni. Wenye habari wathabarishe zaidi.

Hili si jipya masikioni mwangu, kwamba kachukua kitu kwa jamaa wa asas, lakini sijui uhusiano wa huyu mama na asas labda wenye dataz mtujuze, ma-GREAT THINKERS Pliz.
 
Hili si jipya masikioni mwangu, kwamba kachukua kitu kwa jamaa wa asas, lakini sijui uhusiano wa huyu mama na asas labda wenye dataz mtujuze, ma-GREAT THINKERS Pliz.

Mnaniruhusu niibandike picha ya mhusika hapa.
 
Nyiye mwaitafuta jela...miye simo

waz.jpg
 
subiri atakapotangaza baraza la mawaziri ndio hatajionea vituko, yaani akina el, ra na chenge wamejipangia wizara wenyewe watakavyo. Hakuna kitu, mvinyo ule ule katika chupa mpya!!!!

mi naona hata chupa ni ile ile (ya zamani au used)
 
mko dunia(Tanzania) gani kwani nyinyi ni wageni kwa kikwete?hichi kinachosemwa ndivyo kilivyo mambo yake yapo vijiweni ndio maana huwa yanavuma vibaya kwa hiyo taarifa za kuwa mkwe jamani hakuna ubishi hapo ndio analipa mahari hapo.
 
Nimesikitishwa sana kuona Zakia Meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale BOT kupitia Kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya Dittoille de Touch akasema pesa zilichukuliwa kwa shughuli maalumu ya serikali. Kwa mara ya pili alipohojiwa akasema amepotoshwa na aliyekuwa Gavana Mr Balali. Hivi kweli raisi haoni aibu kufanya kazi na mtu ambaye cv yake chafu namna hiyo? kwani hakuna watanzania wengine?

tehetehetehetehetehetehetehe Unasikitika nn?? Kwani 11 eleven ya Mafisadi wa EPA na Mkwere c yumo??? Pesa za EPA ndizo zinasabisha huyu Dr Feki ashindwe kuongoza maana ndizo zilimpleka Kivukoni pale kuwa mpangaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom