Kikwete, Rais anayeangushwa na watendaji wabovu...

Kikwete, Rais anayeangushwa na watendaji wabovu...

Labda kufukuza kazi. Lakini inapokuja mahakamani inatakiwa uwe na ushahidi pasi na shaka vinginevyo kesi itatupiliwa mbali
 
Tatizo watanzania walio wengi wakisikia kauli za hivyo wanapiga makofi, wanakata mauno na kushangilia kama hawana akili nzuri!!
 
Mkuu hii huwa ni mbinu na ni ya kimfumo zaidi na hutumika pale system inapobaini kuwa Rais aliyepo ni dhaifu, kwa hiyo kauli hii lengo lake ni kuficha udhaifu wa Rais kwa wananchi.
 
Ni kweli yote yanatokana na udhaifu wake katika kutoa maamuzi. Na yote ni katika kulipa fadhila
 
Back
Top Bottom