kama hamjui hospitality indusrty inahitaji nini basi sio lazima kila kitu mkejeli, kwa wenzetu watu wakubwa au maarufu wana influence katika jamii, na watu wanaweza kufanya kile watu kama hao maarufu au wenye cheo flani kufanya, hapo ni president anatangaza nchi na anakaribisha watu nchini kwake, watu wengi kwa kuwa katangaza rais wanaweza kuwa motivate na kutembelea nchi yetu, hivyo basi wakija, wataleta hela zao na wataziacha maeneo mbalimbali, kuanzia kwenye usafiri, malazi na viingilio katika mbuga zetu na maeneo mengine ya utalii,labda wengi hujiiuliza mtanzania wa kawaida anafaidika na nini? haya basi, mapato yanayopatikana hutumika katika shughuli nyingine za kijamii, na hivyo jamii inafaidika kwa njia moja au nyingine, mapato mengine huweza kutumika katika kuwekeza katika vivutio vyetu na miundombini, hivyo kazi kibao kwa wananchi, duu, naishia hapa