Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
naona baadhi ya wazee wanaondoka
lazima huko mbele wapambane na ffu?
naona baadhi ya wazee wanaondoka
Vijana wakorofi walikuwa wanatafuta nini kwa wazeeNaona watu wengine wamelala na wengine wanaondoka, hasa vijana
anasema sisi kwetu lazima mawaziri wawe wabunge
Upotoshwaji wa wanaharakati!! Raisi anagonga mle mle!
wanazidi kuongezeka!!kwa taarifa yako-jukwaa hili lina zaidi ya member elfu 40,nazani utaona wangapi hawataki kumfatilia rais wako
Wanabodi,
Leo nataka kuanzisha zogo jingine jipyaaaaa!... Taralilaaaa!
Inakuwaje Viongozi wetu wote toka waliotangulia akiwepo na Nyerere walikuwa wakikutana na wazee wa Dar?.. Je kuna ukweli kwamba hawa ndio founding fathers of our nation?
Muungano gani? wakati huko zenji wananchi wanaandamana kupinga muunganoOndoa njaa zako hapa! mazungumzo ni namna ya kuuboresha Muungano tu!
Wamwelewe wapi? munkari umempanda
Wengi ni wasomi...siyo vilaza kama wewehao wazee anaowasomea english wanaelewa kweli?
We si umekaa kiubwabwa,umeshakameruniwa sasa wasubiri ubwabwaAkili yako ndio inawaza hicho? Hebu msikilize raisi
Achana na Zenji now...sikiliza lecture ya ukweli kuhusu usomwaji na upitaji wa mswada!!Muungano gani? wakati huko zenji wananchi wanaandamana kupinga muungano
Wengi ni wasomi...siyo vilaza kama wewe
Na kahawa.We si umekaa kiubwabwa,umeshakameruniwa sasa wasubiri ubwabwa