Ndugu zangu huo ndio upeo wa viongozi wetu tulio nao sasa,Katika karne hii ya kichina Raisi wenu ambaye ametembea
karibu nchi nyingi zilozo endelea hakutakiwa hata kuonekana katika hilo eneo kwani niaibu kwake.Tunajua wanavijiji wengi
wa tanzania hawa fahamu mambo ya dunia ya sasa,kwao hiko kisima ni kitu kikubwa na wanaona raisi amewasaidia kwani
hapo kabla inawezekana walikua wanatembea 30km kuyafuata maji lakini sasa wanatembea 5km kupata maji,hivyo basi
kwao hawata jadiri standadi ya usanmbazaji wa maji bali uraisi wa upatikanaji ukulinganisha na zamani.
Kwa mfano huu Raisi anaona ametatua tatizo la maji na wananchi wanamkubari,Basi hivi ndivyo wabongo
mlivyo.