Kikwete noma, karne hii ni ya raisi kumtwika mtu maji kichwani?


Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
3,052
Likes
94
Points
145

Zipuwawa

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
3,052 94 145
Yawezekana hayo maji anayomtwika ndio yakawa na kwanza au walichota wiki moja tu, watu hapo wanafurahi maji bomba moja kijiji kizima karne hii.
Lakini tutafika tu!
 

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,064
Likes
3,876
Points
280

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,064 3,876 280
Huyu ndiye kikwete aliyechaguliwa na watu mil.5 kati ya mil.43...............................kikwete yuko juuuu
 
Joined
Nov 30, 2010
Messages
50
Likes
0
Points
13

kiwi2010

Member
Joined Nov 30, 2010
50 0 13
Ndugu zangu huo ndio upeo wa viongozi wetu tulio nao sasa,Katika karne hii ya kichina Raisi wenu ambaye ametembea
karibu nchi nyingi zilozo endelea hakutakiwa hata kuonekana katika hilo eneo kwani niaibu kwake.Tunajua wanavijiji wengi
wa tanzania hawa fahamu mambo ya dunia ya sasa,kwao hiko kisima ni kitu kikubwa na wanaona raisi amewasaidia kwani
hapo kabla inawezekana walikua wanatembea 30km kuyafuata maji lakini sasa wanatembea 5km kupata maji,hivyo basi
kwao hawata jadiri standadi ya usanmbazaji wa maji bali uraisi wa upatikanaji ukulinganisha na zamani.
Kwa mfano huu Raisi anaona ametatua tatizo la maji na wananchi wanamkubari,Basi hivi ndivyo wabongo
mlivyo.
 

Forum statistics

Threads 1,204,202
Members 457,149
Posts 28,145,820