Huu uzi umenipa raha sana, kila anayechangia anavutia kwake. Mlokole anamponda mkatoliki kwa wivu, mwislam analalamika kuonewa na kuuponda ukristu, mkatoliki naye anakomelea msumari kwa kazi pevu iliyofanywa na wamisionari wa kikatoliki. Jf Ni Kisiwa Cha Burudani.