Dokezo: kwa wale watia nia mnaojitamba na #KilimoKwanza mnyamaze sasa, mkuu wenu kashakubali yaishe!President Jakaya Kikwete has conceded - and regretted - his failure to change and grow the agricultural sector over the course of his ten years at the State House.
According to a statement from the Directorate of Presidential Communications circulated to the media yesterday, the president, who is on a three-day official visit to the Netherlands, admitted to the fact in his talks with the country's Minister for Foreign Affairs, Bert Koenders.
"It is sad that I have failed to change and make the agricultural sector grow and hence many people have continued to be poor," the president admitted. "It is a sector that incorporates many Tanzanians and needs much effort," he acknowledged.
"Most people rely on the agriculture sector but it has neither grown at the required pace nor has it been given the required priority," the president went on to admit.
He said over the past ten years of his leadership, while other sectors have grown, that has not been the case for agriculture.
"We need modern agriculture and farmers need loans," he said and pledged that even after he retires from office, he would continue to fight for agricultural development so as to reduce poverty.
"In addition to the continuous growth of the economy, we need to increase efforts to reduce poverty," the president said.
The President said Tanzania utilises well all the assistance it gets from development partners since to a large extent, efforts to ensure economic growth have been successful.
He mentioned examples of such achievements as reduction of the inflation rate from 18.6 per cent during the economic downturn in 2011 to the present 4.5 per cent.
The Netherlands Foreign Affairs Minister, Bert Koenders, pledged his country's continued assistance to Tanzania following the President's appeal.
SOURCE: THE GUARDIAN
Dhamira alikuwa nayo. Ila kwa mfumo corrupt kama huu wa kwetu inakuwa ni shida kutimiza mahitaji ya wananchi. Rushwa inakwamisha maendeleo ya nchi nyingimza Afrika. Hiyo inatokea Angola, Malawi, Zambia, Uganda, South Africa nkAngekiri maisha bora kwa kila mtanzania yameshindikana na kwamba ilikuwa ni porojo tu za majukwaani.
Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa ameliangamiza taifa. Ila nadhani hajafikia malengo yake ipasavyo. Alifanya jitihada nyingi ila ilikuwa inaonekana ni kama yupo peke yake. Matrekta mengi yameletwa na watu wameshindwa kuyasimamiaKauli mbiu yake ilikuwa kilimo kwanza, kwa hiyo angesema tu ameshindwa kuongoza taifa, ameliangamiza.
Hizi Takwimu za FAO zina mashaka. Kenya wanaomba chakula kwetu na sisi tunazalisha chakula kingi kuliko mahitaji ya nchi.
nini kifanyike katika serikali ijayo? cha tofauti kabisa!Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa ameliangamiza taifa. Ila nadhani hajafikia malengo yake ipasavyo. Alifanya jitihada nyingi ila ilikuwa inaonekana ni kama yupo peke yake. Matrekta mengi yameletwa na watu wameshindwa kuyasimamia
TusubiriIlani ya chama. Imeandaliwa kimkakati zaidinini kifanyike katika serikali ijayo? cha tofauti kabisa!
Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa ameliangamiza taifa. Ila nadhani hajafikia malengo yake ipasavyo. Alifanya jitihada nyingi ila ilikuwa inaonekana ni kama yupo peke yake. Matrekta mengi yameletwa na watu wameshindwa kuyasimamia
Bora ya Kikwete alithubutu. Lowasa katika hotuba zake hajawahi hata kutamka neno mkulimaMkapa naye alisema hayo hayo. Sasa ni miaka ishirini kilimo kumetupwa wakati asilimia kubwa ya watanzania ndiyo tegemeo lao.
Hao ndiyo viongozi wetu.
Njia ya kuendeleza kilimo iko dhahiri - hakikisha wakulima wanapata masoko. Weka mazingira ya watu kufungua viwanda vya usindikaji (hawa ndio wa kusamehewa kodi). Watu likiwepo watu watalima bila kushurutishwa. Ikifikia hatua hiyo hakikisha upatikanaji wa mbegu bora, mbolea, ushauri wa kitalaamu, umwagiliaji nk
Kwani tangu aingie ameweka mawaziri wangapi kwenye sekta ya kilimo na bado mambo hayaendi?Sawa kama alijua yuko peke yake kwa nini hakuwawajibisha hao aliokuwa amewaweka kwenye hayo madaraka? Kaliangamiza taifa kweli maana maisha yamekuwa magumu sana, amewabeba sana acha abebe lawama.
Bora ya Kikwete alithubutu. Lowasa katika hotuba zake hajawahi hata kutamka neno mkulima
Kwani tangu aingie ameweka mawaziri wangapi kwenye sekta ya kilimo na bado mambo hayaendi?