Elections 2010 Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya!

"Ukitaka kula lazima Uliwe, Huwezi kula bila kuliwa". Hivi Kauli aliisema Rais Mkapa? :confused2:.
 

TAtizo nimejibu, halafu majibu yote yanafanana!!!

Nikajistukia....bwa hah ahaahahahahaaaaaaa!!!!
 
ndibalema umeshahama kwa huyo ndugu yako?

na leo ukilala hapo kesho utakuta mtarimbo uko chini nao umechanjwa!!!( back to topic)

kikwete ni ju***********h******a
 
hukumbuki walimtoa anasokomezwa kitu na ndipo zeutamu ilipofungwa
Yani wenzake walivyosemwa hakusema kitu lakini jama alivyowekwa tu wakachokoza nyuki. Ghafla eti kaona "no freedom of speech" lazima afunge maana eti yeye ndio kaonyeshwa. Mbona wenzake walivyowekwa hakusema kitu? HYPOCRITE LIKE BEHAVIOUR. ound:ound:ound:
 
16. Ni rais wa kwanza duniani kujitwalia madaraka ya Prosecutor, Judge na Bunge pale aliposimama Bungeni na kuwahukumu watuhumiwa wa EPA -- kurudisha fedha walizoiba au .... mahakamani, na kisha hapo hapo kuzi pangia bajeti ya hizo fedha zilizotarajiwa kurejeshwa.
 
Energy used to prepare these writtings could be used to produce enough funds to send at least one kid to school. You are no different than FISADI's wasting lots of resources for no good reason.
Hahahahahahaaaaaaaaa!!!!! Inachoma hiyoo, mngeprodyuz robo ya mabango na T-shirt, kofia, na "macho panzi" mnazotumia blv me mngetoa Elimu BURE, Afya BURE na wale watoto wa kike wanaopata mimba kwa 'VIHEREHERE" Vyao mngewajengea mabweni kuwakatisha viherehere!
 
Where is my head jamani?
Rais wa pili duniani kuwanyanyapaa wenye ukimwi akitanguliwa na mbeki.
Rais wa kwanza duniani asiyependa kulaumiwa kwa makosa ya watendaji wake wabovu aliowateua.
 
1.Ni Rais wa kwanza kuahidi bajaji kwa ajili ya wajawazito nchini.
2.Ni Rahisi wa kwanza kwenda kubembea jamaica.
3.Ni Rahisi wa kwanza kugawa pipi kwa watoto
 
Mzee si uweke hapa moja kwa moja tu watu wasome kwa urahisi.



1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake

2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi

3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini

4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu wake unatokana na nini.

5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake ikazima barabarani

6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!

7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)

8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni kiherehere chao....

9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.

10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha za kampeni

11.Rais wa kwanza duniani aliyesema hahitaji kura za wafanyakazi
 
15.Rais wa kwanza kupigwa Mkwara na Wafanyakazi na kuongeza Mshara.
16.Rais wa Kwanza kufanya ikulu iwe ya wana family wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…