Mkuu nakubaliana kwa kiasi ungawaje siendi mbali kusema ni unafiki, maana Kiongozi in priciple haongopi.Hapo hata sie wanachama hatuna cha kujibu,
mna haki ya kutunyanyasa na kutuzodoa kwa hili la kujivua gamba ktk siku 90,
atakae wabishia huyo kazidi UNAFKI
Jamaa zetu waongo
Nakumbuka uongo huo na Mvua zilinyesha kidogo bwawa likajaa wakaficha nyuso zao! kiama chao hakipo mbali maana wameshaanza kuchokwa hadi na wazee siku watajiibia hadi kura zaoUmesahau alivyosea wakati ule ili Mtera ijae zinahitajika vua za elnino majira tatu!!!!
Hapo Kwenye RED sisi wananchi hatuwezi kuipata hiyo aibu, sisi sio wanachama wa magamba. Tena omba msamaha kwa watanzania
jamani si bado siku moja? subrini hadi siku ya 90 ifike. halafu mbona hapo kwenye picha hizo kadi za CDM zote zinaonekana km bado ni mpya kabisa? ni mtazamo tu.
hivi pale jangwani alipotoa amri palisha bomorewa au mabati bado yapo
Ndugu kauli mbiu yetu ni "hatudanganyiki", we kama umedanganywa ni kwa sababu u mmoja wa hao magamba.Kwanini hisiwe aibu kwetu sisi tunadanganywa kila siku na hatukomi kudanganywa? au mnataka kuniambia kuwa sasa tumekoma kudanganywa na CCM wajue hilo!
Wera.....weraaa......... Wapi Nape ana jibu la kweli kabisa kuhusu hii kitu.halafu mbona hapo kwenye picha hizo kadi za CDM zote zinaonekana km bado ni mpya kabisa? ni mtazamo tu.
Teh teh teh!!! Hivi NEC ndo nini vile........!!?? Ukweli unauma dada........Subiri NEC ikikaa ndipo utaleta upupu wako hapa JF! Washauri viongozi wako wa Chadema,hujui mtu muongo CDM anasema wabunge wanalipwa hela nyingi badae ana acha ubunge analazimisha alipwe kama mbunge!