Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

Kikwete ni muongo nilikuwa sijui

hii ni habali kamili sii tetesi walitangaza azarani kwa mbwembwe nyingi maandamano hadi sumbawanga nape akiwa msitali wa mbere kwa sasa wanakuja nakisingizi nek ikutane ? nek haikujuwa sk90 zinaisha lini? Kwanini wasingekutana kabura ya sk90 iliwatowe majibu kwa wakati muafaka usani mtupu narudia hii sii TETESI
 
They are not serious with Tanzanian problems....
 
Hivi maana ya nyoka kuvua gamba mnaijua au mnajisemea tu. Tazameni nyoka akibadili gamba anakuaje? Anakufa? Anayayuka? Anapotea? Hapana. Nyoka anabaki kuwa nyoka lakini anang'aa zaidi, ngozi mpya, mororo na yenye kupendeza. Au kwa kifupi ni kubadili aonekanavyo na si kuyeyuka.

Nyie mlitaka iweje?
 
Back
Top Bottom