Kikwete ni Masiha

wewe umeshindwa kupotray mawazo yako, lakini mimi nadhani una maanisha JK ni Kafara ili nchi yetu itoke katika huu utumwa. Hawezi kuwa masihi maana mwisho wa siku masihi ana pata heshima ya kuwakomboa watu. Kupitia JK CCM itaanguka na mapinduzi yatapaikana. lakini hata pata credit kwa mateso ambayo watu hivi sasa wanayapata kwa sababu yake.
Angekuwa Masihi angewaisafisha nchi kwa ufisadi hata kama mafisadi wangemshambulia bado mungu angekuwa pamoja naye kuliko kushiriki matendo yao kama anavyofanya sasa.

Sikubaliani na wewe katika hili kafikiri upya mzee.
 
Naam, yaliyotabiriwa hayako mbali sana. Mchakato wa katiba ni mwanzo wa Tanzania mpya. Tukae tukisubiri, na tusiache kuliombea Taifa letu kufikia huko kwema
 
Naam, yaliyotabiriwa hayako mbali sana. Mchakato wa katiba ni mwanzo wa Tanzania mpya. Tukae tukisubiri, na tusiache kuliombea Taifa letu kufikia huko kwema
Raia Fulani,
Wewe ni kiona mbali. Nadhani wengi hawajakuelewa.
 
Kikwte mesiah? U mean ako sawa na Jesus Christ? Dah! May b u hav gotten ua own meaning of that word mesiah!
 

mi nimekuelewa ila watu sasa hivi naona kama wanataka kupnda tu mbona hii thread imekaa vizuri, sema watu wanakurupuka, maana mawazo yako ni kuhusu mustakabali mzima wa sasa na baadae yaani kuonekana kikwete hayuko makini huenda ndio faida kubwa sana kwa ukombozi wa tazania baadae.
 
Mmh! Kwamba na yeye nchi ya maziwa na asali hataiona kama MUSA! Ila atatufikisha huko!! Daah! Nimeshindwa kuwaza!! Kikwete huyuhuyu!? Ambaye kukaa tz wk nzma ni taabu kwake!! Huko nje tunajuaje kama haendi kuuza nchi!! Niaminivyo mim wamagharibi si wema kwetu! Lakin huyu masihi wa RAIA FULAN ni kipenzi chao! Usiseme kuwa anawahubiria habari njema kama Yesu alivyofanya kwa watoza ushuru!! Hapana!,kwan anawapa madin yetu bureee, wanyama kama twiga bureee, aridhi bureee, n.k!! Huyu ndo masiha kweli???
 

utaelewa tu. Na kuhusu kuingia nchi ya ahadi hataingia kaama rais bali mwananchi wa kawaida tu
 

kweli mkuu. Inawezekana hayuko makini kwa kujua ama kutokujua, lakini mwisho wa siku yote a na b ni faida kwetu wananchi
 
Kikwete ni sawa na Lucifer yule malaika alieasi akatupwa from mbinguni na tangia hapo ni kilio na kusaga meno. Tnagu aingie madarakani ni kilio na kusaga meno.

Unatumia soda gani? Umenifurahisha sana.
 
Uko serious na unaloliandika au una tudhihaki Watanzania.Kama you are serious nakusamehe bure mana hujui utendalo.Kama una tudhihaki naomba uache utani wako.Matumbo yanauma kwa yale yanayotokea Tanzania.
 
ingekuwa ni Uislamu, maandamano yangefanywa nchi nzima! Amelaaniwa mtu alitumiaye jina la Mwokozi ovyo. Kuwa na busara, hilo ni jina takatifu na si la kumpa mtu mtu tu kama Kikwete. Ushindwe
 
Yawezekana mkiwa sekondari hamkusoma fasihi andishi vizuri. Katika kuchambua kitabu mngekutana na maneno kama satire, irony, etc. Kuna kitabu kiliandikwa na Henrik Ibsen, nadhani ni 'play' kinaitwa 'an enemy of the people'. Hakika katika uchambuzi mngechemsha. Si kila kitu kinasomeka kama kilivyo. Your mind has to be supple sometimes to understand some inner and hidden issues
 

usilete literature kwenye imani. Unajua kilichoikuta CCM kusini? Kwa kutumia 'utatu' kwenye kampeni. Shindwa
 
usilete literature kwenye imani. Unajua kilichoikuta CCM kusini? Kwa kutumia 'utatu' kwenye kampeni. Shindwa

hata wangetumia umoja wangesambaratishwa tu maana ilishaandikwa kuwa watatoweshwa tu siku moja. Hata wewe nakuhamasisha uendelee kuamini kuwa jk ni 'masihi'
 
NI KWELI KIKWETE ANASTAHILI PONGEZI INGAWA PIA KUNA ANAYOKOSEA,LAKINI UKWELI ULIOWAZI TUKIACHA TOFAUTI ZETU ZA VYAMA VYA SIASA,Kikwete anastahili pongezi ni kweli muda mwingine huwa anateleza hata watu kukosa imani naye lakini ni mwanadamu anahitaji pongezi kwa mtu yeyote mwenye akili timam
 

KAFIRI MKUBWA WEWE DHIDI YA UKRISTO.Ni dhambi kubwa sana kumfananishe Binadamu na Masiha(Yesu Kristo).Huenda nia yako ilikuwa kumsifia au Kumtetea rais,lakini kwanini umfananishe na Masiha au Kristo?.Kwahiyo Wakristo wanamwabudu Kikwete kwa akili yako chafu?.Umevuka mipaka ndugu.NAOMBA MODS WAKUFUNGIE MILELE
 
thread hii imeanzishwa kupima hasira zetu wanajamvi haina tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…