Kikwete ni Masiha

Vijana someni Biblia vizuri. Title ya MASIHI ndani ya kitabu hicho walipewa watu wengi akiwemo Daudi, Sauli, Samweli na wengine wengi kama vile Sulemani na baadaye Yeshuah mnayemuita Yesu kwa siku hizi. Tukumbuke kuwa sio wote hao waloitwa kwa jina hilo la Masihi ndo waliotenda mema hadi mwisho wa maisha yao, bali wengine waliyatenda yaliyochukizo mbele ya Mungu kama Vile Mfalme Sauli, Daudi, Suleman, n.k. Kumbe tumuelewe kijina wetu katika post yake iliyosheheni lugha ya kitalaam amboyo mtu mjinga hawezi kumuelewa. Kikwete anaweza kuwa Masihi kwani kila kitu kilichokua kinafanyika gizani katika kipindi cha utawala wake kipo wazi na ndo maana leo unaongelea ufisadi. Ni wewe sasa kuchukua hatua ya kuyakemea na kutoyatenda yale ambayoamekufunulia leo punde utakapopata nafasi yoyote ya utawala.
Kiukweli kijana aliandika makala mzuri sana.
 
Back
Top Bottom