GE2025 Kikwete: Nchi yetu ina umoja na utulivu, maendeleo ya kiuchumi na kijamii yanapatikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kwenye kampeni Kibaha mkoani Pwani
 
Ni kweli ila kinachokosekana Tanzania ni democracy ya kweli.
 
Huu umoja anaozungumzia mstaafu ndiyo umepelekea kupotea kwa Mdude, Soka, Deonis Kipanya, Chaula na wengine. Umoja na amani hii ndiyo ime trigger GenZ Tanzania.
 
Angetulia ni busara zaidi wanaharibu hii nchi kujilimbikizia hsli wananchi inazidi kuwa mbaya na masikini daima .....angekaa limya ni busara zaidiii
 
"Nchi yetu ina umoja. Nchi yenye makabila 120 wa rangi mbalimbali, waumini wa dini mbalimbali, lakini hakuna ugomvi wa kikabila, hakuna ugomvi wa kidini, wala hakuna ugomvi wa maeneo." - Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete kwenye kampeni Kibaha mkoani Pwani
Wazee wa aina hii SIYO baraka kwa taifa letu!
 
Back
Top Bottom