Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
I believe you mean 'epusha'. Sasa inamaana kuwa hawa watu wasipewe changamoto na wao ndio watendaji wakuu wa serikali nzima kisa vifo vya mama na watoto? Unajua vitu vingine bwana, nikama kumwambia mtu asimnunulie mke wake mkufu wa dhahabu kisa watu wanakufa njaa sehemu fulani ndani ya mji anao ishi. Tena huo mfano mbaya kwasababu unaubinafsi nadhani mfano hai utakuwa ni kwamba kwasababu wanafunzi wanakaa chini madarasani basi na kwenye vyuo vya ualimu wakaechini. Ndio unapoint kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha yanafanyia.. (moja ya vitu ambavyo vimeongelewa na Rais, na kuongelewa zaidi na CAG) sasa mnataka wanyamaze, wakikaa kimya mnalia. Ivi jamani sisi binadamu sijui tukoje. Ukweli ni kwamba watanzania wengi, wewe nahisi ukiwa mmojawapo tunashindwa kabisa kufanya ukosoaji unaojenga na tunadiriki kulalamika tuuu mwanzo mwisho. Ivi wewe binafsi embu naomba kujua ulishafanya nini kuchangia kupunguza vifo vya kinamama wakati wauzazi? (inaweza kuwa kuchangia kitanda ata kimoja hospitali ata ya kijijini kwenu, kuchangia ata kwa mawazo katika taasisi husika, au mchango gani umetoa katika jamii?) Naomba kujua, na atakama umetoa mchango, point yangu nikwamba wengi hatujafanya hivyo, na hilo ndio tatizo la Tanzania. Wangapi mjini hapa mahodari aw vimada na kuhonga rav-4 na harrier kwa mademu wanashindwa kutoa madawati kumi au kuchangia mfuko wa mikopo wa waalimu. Ukweli ni kwamba tunapenda sana kufanyiwa, kodi zenyewe tunakwepa. Serikali si Mungu, nadhani Jack Kennedy RIP alikuwa na akili sana aliposema ' Uliza wewe utaifanyia nini Nchi yako na si nchi yako itakufanyia nini wewe' Lazima niseme ukweli aisee, watu wamezidi siasa za kujidanganya na kunyoshea vidolee tuu. Tuanze kwa kujitazama sisi, jee tunamchango kiasi gani katika jamii? Asilimia 10 tuu ingefanya hivyo, basi maendeleo mbona tungeyafikia vizuri tuu katika miaka 25 ijayo.
Tunaongea sana sisi watanzania, inawezekana mkuu wangu wewe ni mzalendo maradufu, umetoa mchango wa vitanda 100 katika hospitali mbali mbali kwaajili yakina mama kujifungulia. Chaajabu dada yako au mtoto wangu mimi akienda pale, ma nurse wanataka kitu kidogo laasivyo unaambiwa kazalie kwenye ndoo ya plastiki ama ya chuma. Matatizo ya Tanzania sio serikali peke yake, jamii yenyewe inamatatizo makubwa sana. Haiwezekani serikali kutatua kila kitu bila sisi wananchi kukubali kwanza kuwa tunamatatizo.
WE KWELI POPOMPO!!!!!!!!
Yani unatetea matumzi haya ya ajabu ya serekali kisa CHANGAMOTO? ETI WATENDAJI WAKUU WASEREKALI ndio nini MPUUUUZZZZZZZZZZZZIIIIIIIII wewe yani unatia hasira tafadhali wacha mambo yako haya ! ungekuwa huku kwetu uswazi tungekuchoma moto FISADI MKUBWA WEWE.
yani wewe huoni umuhimu wa WAJAWAZITO KUPATIWA HUDUMA BORA? ndio maana MMENUNUA BAJAJI na bora hata zingekuwa BAJAJI basi zile sijuhi PIKIPIKI MCHINA!
Alafu hiyo mifano yako inaonyesha huwezo wako wakufikiri yani kama ungejuwa na familia wewe unaweza kua hata watoto ili mradi tu uvae suti!
kumbuka KODI yetu tunatoa ili itufanyie haya ninayo lalamika na sio WAPUUZI NYIE KUNYWA CHAI MAOFISINI KWENU KWA KODI ZETU!
Eti nichangie nichangie mara ngapi? VAT, na PAYEE nayotoa haitoshi? inaenda wapi kiongozi wewe wa serekali?
au ndio mnataka haya mambo ya haibu wachina kuja kutoa misaada mpaka ya kandambili tena IKULU? Ndio mnakomaa tutoe misaada na sisi?