Kikwete na Salma wapo Uganda: Je, ni kwa gharama ya Serikali hii ya Kubana Matumizi?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,334
72,798
Namuona mhe Rais mstaafu JK na mkewe mama Salma kupitia Bukedde TV anahudhuria kuapishwa Museveni huko Uganda.

Jee atakuwa kaenda kwa gharama za serikali hii hii inayotuaminisha inabana matumizi kwa kuhakikisha safari za muhimu tuu ndio zinagharamiwa? Hii ni kwa vile kwa nafasi yake kama rais mstaafu hawezi kwenda kwenye shughuli hiyo kibinafsi kama vile anavyokwenda Lindi ukweni kuwasalimia.

Serikali mbona haisimamii kauli zake? Anaogopwa?
 
Psss! Tasafazali sana uchicheme tuliaaaa. Sasa timefungulia miaango.
 
Hivi ziara za kikwete baada ya kustaafu Serikali inahusika?
Kikatiba serikali inagharamia safari kadhaa kwa mwaka. Ni kwa marais wastaafu wote. Hizo ni tofauti na zile anazoombwa na serikali.
Hii ya Uganda inaweza kuwa gharama yao.
 
Huyu Bwana yaani sijui alilambwa na umbwa miguuni pindi akiwa mtotot mdogo?
Make sisi huko kwetu kama mbwa akimlamba mtoto mchanga/mdogo miguu basi huyo akikua hashikiki. Nyumbani hatulii yeye ni kiguu na njia muda wote. Hahahahaha Ndizo za Mkwere
kwetu tunasema alikula miguu ya kuku.... maana kuku huwa hawatulii nyumbani labda kama ni mgonjwa wa kideri au anahatamia mayai..
 
Back
Top Bottom