Kikwete na Lowassa kunani tena?

Mnatengeneza picha ili kutuhamasisha siyo! Lindeni heshima zenu hii nchi siyo ya kihunihuni pelekeni huyo Fisadi wenu hukohuko acheni Tanzania apate kiongozi safi na muadilifu. Lowasa hasafoshiki pesa kitu gani bana mxx!
 
Lowassa,Lowassa,Lowassa!Lowassa,Lowassa,Lowassa.Lowassa,Lowassa,Lowassa.Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,Lowassa,
Mi nafikir sasa muda ufike tumpe kura zetu,mara mseme anaumwa,leo tena mnajadili alivyokaa na Jk,doh
 
kazi kweli kweli WATANZANIA bado mnatembelea gongo wakati wa mchana wakati mnaona ,ni laana hii, yaani unawaza raisi mpaka atoke ZANZIBAR wakati sote ni wamoja..ni laana za MAGAMBA.
 

Wanasema NDUGU wakigombana chukua jembe ukalime na wakipatana chukua kapu ukavune..................
 
Mkuu hii picha imepigwa lini?Kama ni ya leo Basi Rais wetu amesoma alama za Nyakati.

Hakuna cha alama za nyakati wala nini. Huyo jamaaa amekuwa akiwahonga watu wa protocol ili apangwe sehemu itakayomfanya aonekane kwenye picha akiwa karibu na raisi.
 
Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo

Ndivyo ilivyo lakini hawa wapenzi wa lowasa ushabiki wao haunatofauti na wale wa chadema hawapendi kutambua ukweli
 
EL yupo safu ya nyuma na sio mbele alipo Rais.
Alikuwa safu ya nyuma ya JK,tena usawa wa mtu wa tatu toka kwa JK kwa maana nyingine wala hakuwa nyuma hata ya Mkuu wa majeshi.....hapo kati palikuwa na nafasi ilimfanya EL aonekane kama yupo karibusana.
 
Kwa comments hizi nimegundua watanzania wengi wana matatizo ya macho.
 
Protokali imezingatiw hapo jamani. EL ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na hapo ndio mahala pake. Na hata hivyo huyo ndiye rais wa 2015 iwe isiwe. Hapo hakuna kampeni huyo tayari anasubiriwa kuapishwa tu
 
Mnatengeneza picha ili kutuhamasisha siyo! Lindeni heshima zenu hii nchi siyo ya kihunihuni pelekeni huyo Fisadi wenu hukohuko acheni Tanzania apate kiongozi safi na muadilifu. Lowasa hasafoshiki pesa kitu gani bana mxx!
Kuna siku kila mbuzi atakula usawa wa kamba yake na kila mtu atakula alicho panda ccm wote ni wezi na mafisadi waliyo pindukia amna aliye msafi ndani ya ccm wote wezi
 
Akina Mnyika mbowe na Zito walivuta kote kote pande zote yaani walivuta za Mhongo na za Mengi kisha wakazuga kukomaa, vipi hapo kwenye Uchunguzi watafika kwao?
 
nyie mnajidanganya ja kabisa EL yupo nyuma sio mbele pili mnashindwa kupima mambo kwani mtu kukaa na rais ndio kuwa rais wa mwakani?? je mnajua vizuri kikwete?? kikwete hatabiriki hata kidogo na pia mwelekeo wa taifa hili unahitaji mtu clean na muadilifu sio lowasa mwenye makandokando ... Rais kwa jins anavyomuamin na kumtegemea wasira hope ndie atakaechiwa kijiti kwa jins lowasa alivyomnafiki anaweza kuwaachia ndugu zangu ukawa nafas ya kuongoza kwa kutengeneza mazingira tunahitaji rais hatuhitaji Rahis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…