Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,020
- 132,760
Hata kama wangekaa ama kukumbatiana kabisa huyo JK ndo anatuchagulia Rais? Badala ya kujadili mambo yenye tija kwa taifa tunajidili ooh wamekaaje, wamevaa vp, suit ilishonwa wapi, kama mademu wako salon wanadiscuss mabuzz. Watu hawana dawa mahospitalin huko tunadiscuss mambo ya Rais 2015? Hapa pamekuwa so kwa ma Great thinkers tena!
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?
Kwa nini Watanzania wengi wanadhani Rais wa Jamhuri ya Muungano atatoka CCM?
Tanzania kwa sasa tuko kwenye multiparty system, kwa maana kwamba, kwa nini hatuangalii nje ya CCM, hasa ikichukuliwa kuwa kuna hili dubwasha kwa sasa linaitwa UKAWA linalobeba one nominee for four political parties.
Hivi EL kawa mlinzi wa Mwamnyange? Alikuwa bench kabisa kwa akina Pinda huko na akina Msuyahapo ulipo umejifunga kanga kiunoni unakuna nazi maana wewe ni mmbeya
Mkuu najua mnampenda sana Lowassa lakini tatizo wakina Mkapa et al,wameshamuandaa mtu wao na wengi mtashangaa 2015.Wanataka kurudisha system ya Mwalimu kupata rais kwasababu JK kawaangusha.Salim alipaswa kuwa rais 2005 ila kuna kitu alifanya then yupo alitakiwa kufuata badala yake ndiyo uyo rais ajaye.Team Membe & Lowassa note my words.Ni swali tuu nauliza?.
Jee inawezekana kuwa mmoja kati ya watu hawa, ndiye rais wetu 2015?!.
Sababu nilizieleza kabla.
Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali, 2015 ni Zamu ya Zanzibar!.
Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa..
Pasco
Hii picha ukiangalia haraka haraka unaweza kudhani kwamba EL yupo pembeni ya JK lakini ukiiangalia kwa makini, utagundua kwamba EL yupo kiti cha nyuma...second row. UKitaka kugungua, angalia mguu wa kushoto wa JK ambao ni kulia kwako... JK hapo anaonekana yupo mbele ya kiti wakati EL yupo nyuma ya kiti... kwahiyo hawajakaa kwenye same row hao, EL yupo viti vya vyuma!Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!
zanzibar msubiri kwanza mpaka 2035 ndio zamu yenu,nyie si muna marais wenu kule sasa uroho wa nini kutaka huku na huku