Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.