mafimboo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 2,415
- 978
Nadhani wewe ndio unasema uongo na kuingiza siasa, watumishi wote wa serikali mishahara imepanda iweje wewe tu ndio haukupanda ilihali computer ni moja.
imepanda kiasi gani?
Nadhani wewe ndio unasema uongo na kuingiza siasa, watumishi wote wa serikali mishahara imepanda iweje wewe tu ndio haukupanda ilihali computer ni moja.
worry not kesho tuta post kiasi cha mshahara kilichoongezeka kutokana na grade .. maana kwa salary slip zote nulizoziona sijaona mwalimu aliyeongezwa zaidi ya 40000Nadhani wewe ndio unasema uongo na kuingiza siasa, watumishi wote wa serikali mishahara imepanda iweje wewe tu ndio haukupanda ilihali computer ni moja.
Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@