jk nae kazidi ustaarabu,yeye anatoka anaongeza ili iweje,mijitu yenyewe hata shukrani huwaaga haina,,,,,,,hapo ndo jk anaponiudhi...
kawatengeneza maisha bodaboda leo haohao wanadiss...
Hauna Kosa Nawewe Uwezo Wako Wa Kufikili Ndio Umegoti Hapo
jk nae kazidi ustaarabu,yeye anatoka anaongeza ili iweje,mijitu yenyewe hata shukrani huwaaga haina,,,,,,,hapo ndo jk anaponiudhi...
kawatengeneza maisha bodaboda leo haohao wanadiss...
Acha kuongopea watu wewe wewe sio mwalimu na kama ni mwalimu labda wa kenya.
kweli?
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@
Wewe ni mmbeya sana tena liccm mwongo mkubwa, yaani ningekua karibu yako ningekunyofoa kucha, huna aibu tangu lini hili liserekali ovu likaongeza mshahara laki tatu, na nimetoka muda huu kuchukua mshahara wangu nakukuta kitu kinasoma vilevile, kikwete aliulizwa na walimu unatuachaje kwenye ufunguzi wa kampeni lao alisema ametuachia samia suluhu, sasa samia suluhu ndo mlo wetu??
Nadhani wewe ndio unasema uongo na kuingiza siasa, watumishi wote wa serikali mishahara imepanda iweje wewe tu ndio haukupanda ilihali computer ni moja.
Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.
Narudia tena wewe ni mumbeya serikali ya ccm haijawahi wala haitawahi kutokea, wewe si mwalimu nyamaza hujui chochote.
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@
labda wa kenya.
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@
Kumbe wewe ni kajuzi juzi tu, sisi walimu wa siku nyingi tunaidai serikali 16 bilioni haijalipa leo waongeze mshahara laki 3, unacheza wewe, hakuna kura ya mwalimu kwa maccm.
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@