Kikwete na kuhuisha mishahara ya walimu

Kigundu

Member
Jul 28, 2015
79
24
Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.
 
hakuna kitu, nilimuuliza Mshua wangu kama mzigo umeongezwa " hakuna mabadiliko yotote"
, ndo alichonijibu
 
Nilipata nyongeza ya kama 160K hivi, ila sijajua imeongezekaje nasubiri salary slip zije manake zinachukuaga mpaka 2month sometimes
 
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@
 
Mshahara ni siri ya mpokeaji.kapo kanyongeza kidogo.hata hivyo madeni bado hawajalipa.ni usanii mtupu.madeni ya tangu 2007 hadi leo august 2015 bado hayalipwa.ukiulizia wanadai wanafanya uhakiki .haki iliyocheleweshwa ni haki iliyoporwa.
 
Imeongezeka laki 3, nilikua nachukukua take home laki 3 na 54 bt kwa sasa nimekuta take home laki 6 na 54! Kama ni kampeni wameliwaaaaaa wala hutubadili msimamo@

jk nae kazidi ustaarabu,yeye anatoka anaongeza ili iweje,mijitu yenyewe hata shukrani huwaaga haina,,,,,,,hapo ndo jk anaponiudhi...

kawatengeneza maisha bodaboda leo haohao wanadiss...
 
Acha kuongopea watu wewe wewe sio mwalimu na kama ni mwalimu labda wa kenya.
 
Moja ya ahadi ya mh Jk alipoalikwa Arusha kwenye uchaguzi viongozi wa chama cha walimu Tanzania mwishoni mwa mwezi mei, ni kuboresha mishahara ya walimu ikiwa ni pamoja na kuhuisha madaraja ya mishahara wa watu hao muhimu kwa maendeleo ya Taifa, mwenyekiti huyo wa ccm aliahidi kuwa suala hilo litaleta mabadiliko makubwa ya mishahara ya kada hiyo kuanzia mshahara wa mwezi augost mwaka huu. Walimu tupeni update pindi mshahara wa mwezi huu utakapotoka.

Hakuna cha maaaana et hata madeni hayajalipwa mwalimu atakakayeipigia kura ccm apimwe akili
 
Kwani hizo hela anatoa kwenye akaunti ya familia yake?
Acha ushamba lofa we!
jk nae kazidi ustaarabu,yeye anatoka anaongeza ili iweje,mijitu yenyewe hata shukrani huwaaga haina,,,,,,,hapo ndo jk anaponiudhi...

kawatengeneza maisha bodaboda leo haohao wanadiss...
 
labda wa kenya.[/QUOTE]

Nilikuwa na take home laki 6 na point bbaada ya ongezeko nina kama 8 na point.
Kwa
 
MSAADA:
Wazee wa Simu Banking na ATM, vipi Manispaa Ilala (D'Salaam) wameshatumbukiza mzigo? niko bush sana! Nijuzeni nifunge safari kunako mujini nikapange foleni.
 
Back
Top Bottom