Kikwete na Koti la Azam Sembe

...

....Huyu kazuunguka tu!!!

.....tatizo ni neno "sembe"....
 

Kikwete ana mapungufu yake ila wewe mleta mada nadhani hauna nia njema....alivaa koti limeandikwa azam embe na si sembe........ Lakini pia wafanyakazi wanavaa makoti kulingana na product zinazozalishwa kiwandani...... Mnaiangusha heshima ya jamii forum kwa kukurupuka.......
 
hv jaman mtoa mada ana akili kweli? au bado mzimu wa ndalichako na upumbavu wa kibavicha unamsumbua.?
 

Kwa uelewa wangu mdogo pia kwa uzoefu wangu huwa naona marais wanakwepa sana kubeba logo za kampuni za biashara! Sasa huyu wa kwetu imetokeaje? Na hili ndilo lengo hasa la mtoa mada na ndio sababu magazeti mengi yamepambwa na picha ya 'koti la azam sembe'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…