Elections 2010 Kikwete na hofu ya miaka 5 ijayo !!!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Leo Mh Jk anatangazwa mshindi wa urasi 2010-2015 na Jaji Lewis Makame! Lakn wakati yakitangazwa matokeo Jk alionekana fika hana furaha na muda wote wa uongozi wake. Kwanza anajua watu hawampendi na ametumia nguvu kumalizia miaka 5 iliyobaki. Swali lake kubwa ni!! Hivi Dr Slaa atachukua uamzi gani na utakuwa na effect gani na utawala wake. Miaka 5 isiyo na lepe la furaha kwa Jk. Alitegemea 85% leo kakomea 61.17% ni fedheha kwake.
 
Yec na kakili mwenyewe uchaguzi huu uliwabana na inabidi waende wakajipange.hongera dr slaa kwa kuwanyima usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…