Kikwete mvumilivu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete mvumilivu.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Senator p, Jun 6, 2012.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii picha nmetumiwa na rafk wa dada yngu,ambye alipita sehemu hii kukuta kuna soko la mama ntilie na hki choo,ambavyo vimepewa jina la "SOKO LA KIKWETE" na pia hcho choo wanakiita hv CHOO "CHA KIKWETE"hapo hapo kwa pembeni kuna jalala kubwa na kumezungukwa na makazi,na nyumba ya starehe.Kwa thatha kan2mia pcha ya choo ila atan2mia na picha za jalala.
   

  Attached Files:

 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,605
  Likes Received: 12,874
  Trophy Points: 280
  View attachment 55608 hajali lolote kwakweli maana maisha yanazidi kuwa mabaya sana af yeye


  yuko hivii jk bhana.jpg wakati cc tunattaabika sasa sijui alimwamia heeey im mr president of th united of blablablaaaa can i have a picture and a word with you?
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  hamzidi.................. M/MUNGU
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  iyo bona bora,wengine wanapigia vichakani tu,
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kaaazi kweli kweli
   
 6. King2

  King2 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kikwete Lazima Alijipendekeza hapo. Kwani Beckham hawezi kumjua mtu kama Kikwete.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sasa mpaka utuvunje shingo ndio tuione
   
Loading...