Kikwete, Lowassa na Magufuli kuandika historia

Kikwete, Lowassa na Magufuli kuandika historia

Kikwete kuwa raisi wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kukabidhi madaraka kwa chama cha upinzani huku Magufuli akiwa mgombea wa kwanza wa CCM kushindwa na upinzani katika nafasi ya uraisi.

Mh.Lowassa, kwa upande wake, atakuwa raisi wa kwanza kutawala nchi hii kutoka chama cha upinzani-nje ya CCM.

Tukutane Oktoba 25.

NI KWELI KABISA HII NI HISTORIA KATIKA NCHI YETU...tunaisubiri kwa hamu.
 
Back
Top Bottom