Kikwete kuongezewa miaka miwili?

CCM walivyo na tamaa hawawezi muachia Kikwete aongezewe miaka miwili. Hao wanao utaka uraisi 2015 hawa wezi ruhusu. Kumbuka behind the doors kuna watu wenye nguvu sana kwa hiyo hoja hii kupita ni lazima makundi yote yakubali. Trust me when I say JK havuki 2015 na akijaribu ataishia kama Salmin Amour.
 
Mnataka hadi atutafute wanaume wa kutuoa? Hii ya Ukameruni haitoshi jamani? au hadi aruhusu tuolewe ndio mnavyotaka? No, I am not one of them!!! Yaaani pamoja na upupu wote huu kuna maboga yanafikiria kumuongea muda tena badala ya kuupunguza? Lahaula
 
Kwa msemo wa Mwanakijiji, kuna watu wanapenda kucheza muziki hata kama muziki umefika mwisho wake. Ainiingii akilini Mbunge mwenye makende mawili akitembea nayo kwenye suruali yake anatoa hoja zisizokuwa na kichwa wala miguu. Huo ni ulevi tu wa wale ambao bongo zao zimelala huku zikiamini kuwa bado ni usiku wakati ni mchana kweupe.I feel sorry kwa constituents wa Mtera lakini hata hivyo walitumia demokrasia yao. Siwezi kuwalaumu ila nawasikitikia. JK hasijejidanganya hata kidogo ku-support huo ujinga wa Lusinde. Hapa si Uganda kwa Museveni, watanzania wamechoka na UBINAFSI na UFALME. Nafikiri Mbunge wa CUF (Hamad Rashid) aliyekuwa anaponda hoja ya Lissu kupinga Ufalme, sasa ni wakati wake kutambua ni nini Lissu alikuwa akimaanisha.
 
Hivi admin wa Jamii Forums kuna mkakati wowote wa kuhakikisha haya tunayojadili hapa yanawafikia wahusika? Hamwezi kuwatumia copy? coz tusijekuwa tunaishia kupiga domo hapa..then hakuna wanachodadilika coz hawajui watz tunavyojisikia!
 
Tena wakome kutucheleweshea katiba yetu kwa kutuletea mambo ya kijinga hapa.

Hakuna cha kibaraka. Kama ni vibaraka basi ni CCM ambao wanapokea helicopter za wapora madini wetu kama Barrick.Mmesahau helicopter tatu za Kj wakati wa kampeni 2010? Hawo ndio walimpeleka Balozi wao kwenda kuangalia hali ya hewa Dodoma. Waangalie sana maana tukijichafua hizi investments wananchi watajichukulia zao.
 
Huyu Lusinde alizaliwa bila kichwa yakafanyika mazingaombwe akawekewa dafu leo hii ni mbunge. Msishangae yeye kuipigia nazi debe,wana asili moja.
 
Back
Top Bottom