Kwa nini kashindwa hata kumtaja jina Lowasa kama mmliki wa richmond , kwa nini hakusema live "richmond ni ya Lowasa" kama alivyosema Tundu Lisu kwamba richmond ni ya Kikwete?
Kama richmond ni ya Lowasa Dowans na symbion ni za nani?
Kama Lowasa ni mmiliki wa richmond kwa nini JK aliruhusu apewe mafao ya uwaziri mkuu mstaafu kwa miaka 8 na kwa nini baada ya kujiuzulu uwaziri mkuu JK alimpa usimamizi wa kazi za serikali kama ujenzi wa shule za kata, na kwa nini JK aliruhusu lowassa ashike uenyekiti wa kamati ya usalama wa bunge?
Kama richmond ni ya Lowasa na JK anafahamu kama anavyodai, kwa nini mpaka sasa hivi Lowasa anakatiza mikoani kuomba kura za uraisi badala ya kuwa jela?
Ilikuwa funika kombe mwanaharam apite !!! ila Richmond in ya kikwete,,,,,