singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
Nitafurah rais Kikwete akiwagomea nyongeza ya posho wanayotaka kwakuwa ni ufisadi uliopitiliza kwa nchi kama hii watu wanakufa kwakukosa dawa ...maji hakuna mahindi ya wakulima yanaoza...Tunakuomba rais wetu uwagomee wezi hawa ..
Unatafuta ugomvi na Godbless Lema weweccm wanataka kuwalaghai watanzania kuwa hata ukuwa ni mafisadi kama wao, so ukawa tusijiingize huko tuwaache walipane wenyewe.
Kuna kamati ya wabunge ambayo inahusisha wabunge wa upinzani na ccm. Kumbuka Bunge ni mhimili mwingine wa dolakwani hao waliopitisha hizo pesa ni wabunge wa serikali ya nani .
kwani hao waliopitisha hizo pesa ni wabunge wa serikali ya nani .
Mbowe ndio mwenyekiti wa mafao ya wabunge
Kuna kamati ya wabunge ambayo inahusisha wabunge wa upinzani na ccm. Kumbuka Bunge ni mhimili mwingine wa dola
jk akigoma ataonekana mnafk mana kuna ufisadi uliokomba mabilioni kipindi cha utawala wake
wabunge walio wengi ni chama gani kwa hiyo ccm walishindwa kupinga
Kamati ya Mafao ya watumishi ina uwakilishi sawa baina ya wabunge wa ccm na upinzani. Mwenyekiti wake ni Freeman Mbowe ambaye ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungenisawa lakini wabunge walio wengi kwenye hizo kamati ni chama gani
Kamati ya Mafao ya watumishi ina uwakilishi sawa baina ya wabunge wa ccm na upinzani. Mwenyekiti wake ni Freeman Mbowe ambaye ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
hujanijibu swali langu wabunge walio wengi kwenye hizo kamati wanatoka chama gani mbona hoja za upinzani mnafanikiwa kuzizima mbona kwenye posho hajafanikiwa .
Kamati ya Mafao ya watumishi ina uwakilishi sawa baina ya wabunge wa ccm na upinzani. Mwenyekiti wake ni Freeman Mbowe ambaye ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni
dah...we jamaa uko mshabiki sana,anachojaribu kukwambia ni kwamba,wewe si unawaregard wapinzani kuwa at least wako afadhali,sasa mwenyekiti wa kamati ya bunge kuhusu maslahi ni mbowe