Kikwete kugomea Bunge?

Kikwete kugomea Bunge?

wewe ndo mjinga huelewi chochote mbona ameshindwa kujibu .

sipendi sana kutukanwa na machokoraa kama wewe,kwahiyo shika adabu yako ,sawa dogo,usinifanye nipoteza mda wangu kudeal na wewe.kama hujafunzwa nidhamu nitakufundisha,
 
Sina muda wa kushinda ni mwehu kama Elungata .
 
Last edited by a moderator:
sipendi sana kutukanwa na machokoraa kama wewe,kwahiyo shika adabu yako ,sawa dogo,usinifanye nipoteza mda wangu kudeal na wewe.kama hujafunzwa nidhamu nitakufundisha,

una heshima gani wewe mpuuzi na mjinga kama wajinga wengine .
 
sijasema mimi nina heshima,nimesema ntakufundisha adabu,mitoto mijinga kama wewe ndo kazi yangu kuinyorosha.
kimtu eti kinashabikia siasa,hakuna hata advantage utapata zaidi ya kupoteza mda humu,au umelipwa na ngwajima,eeh?
 
huku ni kuishiwa hoja kabisa ngwajima ndo nani huyu.
 
ha ha ha,we huko chadema una hata jamaa yako kwamba wakikamata nchi utafaidika,au ndo viroba vinaongea hapa?

10563113_373566346172594_3951527065631302589_n.jpg
wewe ni chizi.
 
sasa wewe una point gani humu zaidi ya mara kwa mara kumtetea huyo kiongozi wa misukule humu jf?

wewe ndo msukule usiyejitambua kiongozi wa misukule ndo nani au umechangikiwa sijui umekula maharage ya wapi mpuuzi wewe
 
Kwahoyo wabunge wa ccm walishindwa kutumia wingi wao kuzuia posho hizo kama ambavyo huwa wanapitisha miswaada mingine?
 
kwenye posho walishindwa lakini kwenye miswada wanafanikiwa kuzuia .
 
wewe ndo msukule usiyejitambua kiongozi wa misukule ndo nani au umechangikiwa sijui umekula maharage ya wapi mpuuzi wewe

msukule si ndo wewe,ama hujitambui ?,au huwa unapost halafu unasahau,?which means unapost bila ku engage your diminishing brain,otherwise ungekuwa na kumbukumbu ya mambo unayopost hapa
 
napoteza muda wangu bure kushindana mwehu kama wewe .zaidi yako ni wagonjwa wenzake wa mirembe akina Lizabon na laki si pesa ndo wahuni wenzako hao unatakiwa kujadiliana .
 
Last edited by a moderator:
kwenye posho walishindwa lakini kwenye miswada wanafanikiwa kuzuia .

ndo maana nasema unahitaji ku engage ubongo wako kabla hujasema,huo si mswaada kwamba umeletwa bungeni waupigie kura.
na hapa inaonekana wote wanataka kuongezewa maslahi,wakiwamo hao kina mbowe.
sasa lini umesikia wamepiga kura wakaupitisha,?
yale ni mapendekezo yao wabunge,wametoa .
unaongea vitu hata hujui,
kwani umesoma hadi darasa la ngapi ?
 
napoteza muda wangu bure kushindana mwehu kama wewe .zaidi yako ni wagonjwa wenzake wa mirembe akina Lizabon na laki si pesa ndo wahuni wenzako hao unatakiwa kujadiliana .

yah,inaitajika mwehu kama ngwajima kupretend inafufua misukule kama wewe,hivi huwa anawalipa bei gani baada ya maigizo ya kuwafufua?
 
Last edited by a moderator:
Hili ni Bomu baya sana, na UKAWA mnatakiwa kuwa makini saaana kuliko kipindi chochote kile.CCM walishachafuka machoni mwa jamii nzima ya Watanzania, na ccm tayari wameshajikatia tamaa ya kuongoza na sasa hivi hawana tena huruma kwa Watanzania hata kidogo.Wanachoangalia wao kwa sasa hivi ni Pesa tuuu.
Hivyo basi ukawa kuweni makini sana na huu upuuzi wa wana CCM unaweza ukawagharimu katika kipindi hiki cha kuelekea Kwenye Uchaguzi mkuu.

Kweli mkuu,hawa sisiem wanataka kuwaingiza ukawa kwenye mtego waje kuitwa ni miongoni mwa mafisadi..Ukawa kataeni upuuz huu utawagharimu.
 
Back
Top Bottom