Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Mbowe ndio mwenyekiti wa mafao ya wabunge
wabunge wengi wa ccm ni wanafiki. Kwenye suala la kunenepesha mitumbo yao huwa wanafurahi sana. Na mwaka huu jino kwa jino tunahakksha hawarud bungeni.
Mbowe ndio mwenyekiti wa mafao ya wabunge
napoteza muda wangu bure kushindana mwehu kama wewe .zaidi yako ni wagonjwa wenzake wa mirembe akina Lizabon na laki si pesa ndo wahuni wenzako hao unatakiwa kujadiliana .
Zitto Zuberi Kabwe wa ACT ndio pekee anayeweza kuikataa Posho hii ya sasa na hata zijazo lakini Wabunge wote wa CHADEMA watakinga mikono upesi sana wakifuatiwa na wa NCCR, CUF & CCMhujanijibu swali langu wabunge walio wengi kwenye hizo kamati wanatoka chama gani mbona hoja za upinzani mnafanikiwa kuzizima mbona kwenye posho hajafanikiwa .
yaani mbowe au lema aache hela? thubutu. labda utakuwa unaumwa wewe. mbona akina lema wameweka wazi kuwa wamefuata pesa bungeni?ccm wanataka kuwalaghai watanzania kuwa hata ukuwa ni mafisadi kama wao, so ukawa tusijiingize huko tuwaache walipane wenyewe.
mi naona jk asigomee,awape tu ,wabunge wetu wamefanya kazi nzuri sana kwa kweli.
ccm wanataka kuwalaghai watanzania kuwa hata ukuwa ni mafisadi kama wao, so ukawa tusijiingize huko tuwaache walipane wenyewe.
ccm wanataka kuwalaghai watanzania kuwa hata ukuwa ni mafisadi kama wao, so ukawa tusijiingize huko tuwaache walipane wenyewe.