makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,641
- 1,217
Hali inaonekana ni tete sana baada ya Uchaguzi kwenye nchi yetu kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru. Kuna tetesi kwamba huenda JK akatangaza hali ya hatari kwa Taifa mara tu atakapoapishwa. Hii ni kutokana na hali zilizojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi.
Kwa vile JK anajua kabisa kuwa ameingia Ikulu kwa KURA ZA WIZI(CHAKACHUA)akisaidiwa na Tume(NEC),Usalama wa Taifa,Wakuu Wilaya na Mikoa pamoja na Wakurugenzi wao atakuwa na kipindi kigumu cha kuiongoza nchi.
Bado kuna malalamiko na manung'uniko kutoka kila pembe ya Nchi hii kuwa Uchaguzi huu haukuwa Huru wala Haki ingawa wengine wanasema ulikuwa Huru bila Haki. Tayari Chadema wameshawasilisha malalamiko yao NEC pamoja na ushahidi na kuna mipango ya kwenda Mahakamani.
JK anajua kabisa madai ya CHADEMA yana ukweli karibu 90% kama siyo 99% na DHAMIRA yake inamsuta kuwa KURA ALIZOPATA SIYO HALALI. Hilo JK analijua. Safari hii ameingia Ikulu kwa mlango wa uani!
Mtakumbuka siku ile alipokuwa kwenye Mdahalo na Vyombo vya habari alipoulizwa swali kuhusu wizi wa kura. Alijitetea sana kuwa kulingana na mfumo uliopo wa upigaji kura kuiba kura ni vigumu sana. Lakini akatoa HINT ya namna KURA ZINAWEZA KUIBIWA. Kwamba ni wakti wa KUJUMLISHA MATOKEO KWENYE COMPUTER NDIPO WATU WANAWEZA KUCHEZA NA FIGURES KWA KUONGEZA AU KUPUNGUZA NA NDICHO KILICHOTOKEA. KWA HIYO KIKWETE ALIKUWA ANAJUA NA NDIYO MAANA ALIKIGUSIA!
Kwa hiyo basi Rais JK ajaye atakuwa ni Rais asiyejiamini tofauti kabisa na mwaka 2005 alipoingia kwa mbwembwe za kasi mpya,ari mpya na nguvu mpya. Hana tena ujasiri huo!
Hofu ya Kikwete kwa sasa iko kwa CHADEMA NA DR. SLAA. Kwamba DR.SLAA anaonekana ni tishio kwa utawala wake na hakika anamnyima usingizi. Hataweza kutawala kwa amani.
Ni dhahiri kwamba hali ya hatari inawezekana kabisa kulingana na sababu nilizoeleza hapo juu. Kwamba ili KUZIMA VUGUVUGU LA DR.SLAA NA CHADEMA pamoja na wafuasi wao A CURFEW IS INEVITABLE.Vinginevyo JK na CCM atatawala kwa taaabu sana.
Tusubiri tuone nini kinakuja.
Wasaalamu.