Kikwete katutelekeza vijana!

Kikwete katutelekeza vijana!

masoudmwevi

Member
Joined
Aug 5, 2008
Posts
53
Reaction score
2
Ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana JF nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
nini unafikiri Rais Atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie January Makamba kwa Mlango usio rasmi?
 
Mkuu unaweza kuangaliaje?
 
eeeh huyo na lake jambo coz anajua vijana ni wana mapinduzi ndo maana hajataka kuwaweka
 
Kumbe majibu munayo sasa ni mikakati gani twaipanga kujikwamua na Kudai KATIBA mpya ????

Ndibalema nakushukuru kwa comment yako ninaposema kuliangalia ninamaanisha ukisoma majina ya mawaziri,ukiwa na wasaa ukatazama nyuso zao,ukipata fursa adhwimu pitia CV zao utayaona hayo ninayotaka wana JF wayatafakari kwa umakini
Vijana kwa nchi yoyote ndio nguvu kazi na kuna mambo hufanyika ujanani tu hivyo kama hawatoshirikishwa kwa kupewa fursa inapobidi wapewe kuna mambo mengio tutayakosa toka kwao
 
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.
 
Kumbe majibu munayo sasa ni mikakati gani twaipanga kujikwamua na Kudai KATIBA mpya ????

mimi nadhani we have to preasurize wabunge tuliowachagua na kuwaunga mkono pia kuwasapoti kwa mkono mmoja ili waweze kuwakilisha mahitaji yetu bungeni likiwemo hili la kubadili katiba
 
Ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana JF nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
nini unafikiri Rais Atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie January Makamba kwa Mlango usio rasmi?

Nafikiri mtu akifikisha miaka zaidi ya 35 sio kijana tena.
 
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.

Ndiba, mtu kama Masha, unaweza sikia karudi veeery sooon!! Si unajua nafasi zake za special seats bado anazo, amezishika kama peremende!!!
 
yaah hata asiporudi anaweza kupewa mkoa fulani au wilaya ya kuzugia kwa muda maana yeye na fisadi damdam
 
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.

Ni kweli Ndiba, alichojua kufanya ni kuwala dada zetu "bufee" na lile kundi lake la pale Rose Garden linalojiita G8-wametuangusha kupitiliza!
 
Ndiba, mtu kama Masha, unaweza sikia karudi veeery sooon!! Si unajua nafasi zake za special seats bado anazo, amezishika kama peremende!!!
Hata akirudi atapewa wizara gani tena?
Nafasi si zimejaa au?
 
We nani unamtaja january makamba?...........huyu huyu wa yusufu makamba?............acha kuhadaa watz......hatakiwi kutajwa kati ya watu wa reference
ukiliangalia kwa makini baraza la mawaziri utagundua kuwa ndani ya miaka 2 almost woteeee watakuwa wamevuka miaka 45 je wana jf nini mustakbali wa vijana kwenye uwakilishi ndani ya kabinet ya nchi hii ambayo kwa sasa vijana ndio walio wengi na ndio waliopiga kura iliyoleta changamoto kwenye uchaguzi huu?
Nini unafikiri rais atakavyowasikia vijana?
Au ndo wamtumie january makamba kwa mlango usio rasmi?
 
To Me the big problem is not WHO( Age,Religion. Disability, Tribe etc )
The issue is WHAT are they going to do and ?and Wich interest these people will put 1st in theri Decision making.
 
January mmembania mbaka Mheshimiwa JK akaona isije kuwa a riot humu , ila muda anao bado wapo mawaziri wata boronga tuu vibaya na nafasi zitakua wazi soon so Mh January usikate tamaa , utatoka tuu ,umtoe na Ruge awe secretary wako.
 
Ndugu yangu walikuwepo akina Masha laikini sikuona chochote walichokifanya.
Labda wao wangekuwa ni mfano mzuri lakini walituangusha.

Aiseee, usimtaje huyo muhuni bana, asije jeykei akavunja baraza ili amteue aingie tena barzani!
 
je,sisi kama vijana tulio nje sasa hivi tunafanya nini kuwawezesha akina MNYIKA,SILINDE,SUNGURA (viti maalum-chadema) wapate moyo wa kupambana kwa namna ya pekee namfahamu Silinde na Sungura kwa silinde toka tukiwa pale udsm akiwa GS wa FCM now school of bussiness ni mpambanaji hodari saaaaaaaaaaaaaaaana as long as anapawa ya umma
tuwe karibu nao kimawazo ili wapate moyo wa kupambana mno
ALUTA CONTINUA
 
Back
Top Bottom