Kikwete kama Ayatollah (Tz kama Iran)

msabato masalia

Senior Member
Dec 3, 2008
118
20
Amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama-that means mbunge yoyote atakaye ishutumu serikali anaweza fukuzwa uanachama then akapoteza ubunge,kinga ya kutoshtakiwa,............bonge la msululu wa mambo ya Ki-:mad:Ayatollah
 
this is rubbish.....and very low, haiko kwenye standard ya JF thinkers.Mod. plzzz ifute kabisa inatushushia hadhi yetu JF as great thinkers.:rolleyes:
 
Mkuu Msabato Masalia hebu iweke vizuri habari.Ulikuwa unataka kutuambia nini ?????????.
 
Mtu hufukuzwa kwenye chama anapokosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama. Kutofautiana kwenye chama kupo na kutaendelea kuwepo. Kama mawazo yako yangekuwa sahihi Mbunge Selelii, Anne Kilango, etc wangeshatimuliwa siku nyingi.
 
Hamkusikia Selelii kwenye upitishaji wa bajeti 2009? mwenyekiti bila vikao anaweza kukuvua uanachama, akapeleka ki-note kwa spika kwisha kazi huna ubunge!
 
Hamkusikia Selelii kwenye upitishaji wa bajeti 2009? mwenyekiti bila vikao anaweza kukuvua uanachama, akapeleka ki-note kwa spika kwisha kazi huna ubunge!

Toa mfano wa mbunge ambaye ameshawahi kufukuzwa kwa ki-note na Kikwete. Usiwe unatoa hisia ambazo hazina msingi wowote!
 
Hiyo ndio katiba ya chama cha mapinduzi (CCM) wanachama wanatakiwa wakubaliane na mwenyekiti kama selelii anaona anonewa "he has an option to quit" aachie uanachama ndio tutaona anapigia haki zetu siyo tumbo lake otherwise mchumia tumbo.
Habari yako imekaa kibaguzi zaidi "ayatolla vs kikwete (it sounds like UDINI hivi ndio unachotaka JF kujadili?
 
Hapana shaka kuwa kama atakuwa hivyo kwenye chama chao na sio watu wengine walio huru katika kutoa mawazo
 
Back
Top Bottom