Kikwete Jiuzulu uinusuru nchi...

Mkuu, hakuna kipya kwenye hoja hii zaidi ni kuendeleza mipasho ya msanii Mbowe na timu yake ya Kinondoni Jazz Band
 
Porojo, uongo, uzandik, ufataani.

ndivyo mnavyovijuwa bavichaa.
With due respect shirikisha akili yako kwa kila jambo. Unanshangaza

Vitu vingi ulivyobainisha ni vepesi vyote vinaisha kwa kwa kurekebisha kidogo tu kwenye utendaji na uwajibikaji wala humgusi rais lakini kwa vile wewe unachuki na rais ndiyo maana umeenda kumdandia rais,
Hujatoa hoja unambwela mbwela hewani

Gongo aliyoitangaza slaa sasa naona imeanza kutumika sasa.
Inawezekana kweli kwa sababu supplier wake ni wewe.

Kikwete nchi imemshinda,
Lete hoja KWANINI ASIJIUZULU?
 
Kabla sijamaliza kusoma huu uzi nikaanza kucheka maana nilijua huko kwenye comment za wadau lazima watu fulani watahusisha huu uzi na CHADEMA,hasa Slaa......na kweli Mchangiaji wa kwanza tu akafanya nizidi kucheka.......mleta uzi binafsi nimekupata vizuri ila majukumu hayakimbiwi,mwerevu anakabiliana nayo......so mshauri Mr President akaze buti.
 
Msanii kaleta hoja nzito,na kama ulivyosema KM kasema kuna mawaziri mizigo,na hao mawaziri wao wamesema sio mizigo sasa mzigo uko wapi? Washabiki kama kawaida yao wanakuja na ngonjera za mara gongo mara sijui nini! Hiyo haisaidii.
Nchi ni ya wote wanachopaswa ni kutueleza kama hawa mawaziri wanakana kuwa wao sio "mizigo" sasa "mzigo" ni nani? Kushindwa kuongoza na kuamua kujiuzulu sio fedheha bali ni heshima,ila kushindwa na kung'ang'ania ndio fedheha.
 
Last edited by a moderator:
Narudia kusema kwamba Sijawahi kuwa mwanachama wa CDM wala BAVICHA hadi sasa,

Hoja hujibiwa kwa hoja, hebu mliojivika kuwa wasemaji wa serikali mitandaoni muijibu hoja kwa kila kipengele.

Bila hivyo ni wazi mnaonesha CHUKI dhenu dhidi ya Watanzania
 
Mwambieni babu ajiuzulu kwanza ili kuinusuru CHADEMA yenu.
 

Ukisoma jina ni la bavicha member huna haja kusoma alichokiandika.
 
Hawez kujiuzulu kirahs rahisi hivyo,...chezea kupishwa barabarani kwa king'ora ww!!!!!!!!!!! Ikulu ni paradiso ndogo mkuu
 
Kwa nini mnakataa ukweli? Kwa nini mnakuwa wanafiki?
Nyinyi wenyewe mnawaita baadhi ya mawaziri mizigo tena kwenye mikutano ya hadhara na kwenye vikao.
Huyo Rais Kkwete JE: hajaonyesha udhaifu mkubwa kuliko mafanikio? Na hili si swala la ushabiki wa Chama hili. Mfano mmoja: Kulikuwa na sababu zipi kuunda Baraza la Mawaziri 60 hadi wengine hata wanachofanya leo kukosa maelezo yenye mashiko?
 
Onngeza na kupuuza maazimio ya bunge ili tu kulinda jamaa zake.

Huyu ndio mzigo kuliko hata hao mawaziri wanaoshambuliwa.

Tungekuwa na bunge makini angeshapigiwa kura ya kutokuwa na imani(vote of no confidence).

Ni utawala wa hovyo kweli.


In short,we have hopeless ruler and not a leader.
 
Umenikumbusha namna alivyomdhalilisha Pinda kwenye lile sakata la Jairo.
Nakumbuka vyema namna serikali yake ilivyodhasrau azimio la Bunge kuhusiana na ishu ya Richmond
 
Wanaongoza kwa matusi wanakunywa Ngongo ambayo mpaka sasa ni haramu. Ikija halali wataaaaaaaaaaacha.
 
Mlitaka awaruhusu kupika gongo ndo mmkubali. Tuachieni ni wetu.
 
Ni vema tuanze na mbowe aliyechakachua katiba ili atawale milele chadema.
Basi na Mbowe awajibike, kizuri ni kuwa unakubali kuwa kuna tatizo na kwa sababu hawa ni watu wawili na majukumu tofauti basi tujikite kwenye hili la huu uzi na wewe anzisha wa Mbowe wanajamvi wautolee maoni.

 
Vp kama angefariki rafiki ysko wa karibu..? Na ungejaribu kuuliza kwanini ni sababu gani iliyompelekea Rais kwenda mara mbili SA... bila shaka wahusika watakuwa na majibu.... lakini hizi tuhuma za wana CDM kujiteka nazo vp, haziwezi kuwa sehemu ya majibu ya baadhi ya maswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…