Akiwa waziri wa fedha aliunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya aliyokuwa amefanya Kigoma Malima, enzi hizo za Mzee Rksa KM alikuwa haambiliki lakini JK alitoa findings za tume yake na kumfukuzisha kazi Malima. Inasemekana hata fedha za Malima zilizokuwa nje alizifreez na ikawa chanzo cha kifo chake. Hicho peke yake ndio kilichompa umaarufu kwa Watanzania.
Sijui kwa nini alishindwa kukamata za kina Chenge na za Epa.
Mmeamua kumpamba au kuna vitisho.litania za sifa kama hizi hazitegemewi hapa.
Hadi jana usiku,nilikuwa sijashawishika kuchangia ninachojua katika CV ya Jakaya Kikwete.Lakini baada ya HABARI LEO "kufungulia mbwa" basi acha nasi tueleza tunachojua kumhusu mgombea urais kwa tiketi ya CCM (KIkwete).
Mambo matatu ambayo NINA UHAKIKA NAYO ni kuwa Kikwete alikuwa na uhusiano na mwanamke mmoja Kinondoni Mtaa wa Isisi.Mwanamke huyo alikuwa mwenza wa mkandarasi mmoja maarufu anayesifika pia katika sanaa ya self defence.Hatimaye mkandarasi huyo alishtuklia uhusiano kati ya mwenza wake na Kikwete na wakaachana (lakini kwa uungwana akamwachia nyumba hapo Kinondoni anapoishi na mwanae).Jirani na mamakzi ya mwanamke huyo kuna grocery moja maarufu ambapo habari hiyo inafahamika waziwazi,na Kikwete ameshaonekana mitaa hiyo (kabla hajawa rais)
La pili ni kwamba Kikwete amezaa na dada mmoja mtu wa Botswana.Huyo dada ni katibu muhtasi katika kampuni moja binafsi ya sheria iliyopo East London hapa Uingereza.Mmiliki wa kampuni hiyo ya sheria ni mwanadada mmoja wa Kinigeria.Jina la dada huyo aliyezaa na JK na la mwanaye nayafahamu pia.
La tatu ni mambo ya kienyeji.Wakati wa kampeni zake za uchaguzi 2005 alikuwa anamtembelea mganga mmoja eneo la Kiberege wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.
HAYO NINA UHAKIKA NAYO.Tetesi nilizowahi kusikia ni kwamba ana uhusiano na binti mmoja huko Marekani,na huyo dada anatangaza waziwazi kuhusu hilo.Sina uhakika na mji anaoishi japo habari hizo zinafahamika waziwazi hapo Houston,Texas.
Tetesi nyingine ni uhusiano wake na mwanamama mmoja aliyemteua kuwa balozi kwenye nchi flani "muhimu".Inadaiwa kuwa mume wa balozi huyo anafahamu uhusiano kati ya mkewe na JK lakini hachukui hatua yoyote kwa vile naye ni "kiwembe" (inadaiwa mume wa balozi huyo alikuwa na uhusiano na mbunge mmoja aliyekuwa nchini humo kimasomo.Mbunge huyo anatoka jimbo moja kanda ya kati).
Kadhalika,kuna habari kuhusu dada mmoja aliyekuwa kimada wa Kikwete kabla hajapata urais.Inaelezwa kuwa dada huyo alikuwa anakaa magomeni.Sikumbuki vema jina ila nadhani ni MARY or something like that.Dada huyo kwa sasa ni marehemu na inafahamika alifariki kutokana na maambukizi ya upungufu wa kinga mwilini (ukimwi).Kifo cha binti hiyo kinatajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea JK kudhaniwa anaumwa ugonjwa huo (na mwenyewe akakanusha-BILA KUULIZWA-huko Dodoma)
Kuna mengine nayafanyia kazi,lakini kwa leo ni hayo tu.I repeat,NINA USHAHIDI WA HAYO MATATU YA KWANZA.
JF Kiboko watu mnadata hadi mnatisha! Mchungaji nauliza ni yule balozi wa UK aliyehamishiwa US?
Dar West kabla ya 2005. Unaijua list ya washikaji zake?
Unajua huwa najiuliza mwaka 1976 Graduate kujiunga jeshi wakati mpaka miaka ya 1990s graduate kwenda jeshini ilikuwa issue.
Naona kuna kitu apo in between
Hebu tuweke vizuri, ni degree ipi aliyonayo JK
Bachelor of Economics au
Bachelor of Political Economy?
Yote haya si kweli UDOM ni MKAPA
BRT ni awamu ya tatu
Daraja la Kigamboni awamu ya tatu
MPASUKO WA ZANZIBAR wameuziba wenyewe, kwa kuwa wanaogopa moto wa CUF
CCM haina demokrasia ya kweli, Muulize Mangula, Bashe, na wengine wengi,
Sheria ya madini bado iko ovyo
Unajua ni kwanini wanawake wengi wameongezwa kwenye nafasi za uongozi? kweli wana uwezo wa kuongozwa, mbona wenye uwezo wa kuongoza wako pembeni?
Mkuu mbona TAKUKURU iko ovyo na wote tunajua, inaweza kwenda kumkamata RA, EL au Chenge?
Uhuru wa habari wa magazeti ya shigongo si uhuru, au wa FM stations si uhuru
Mkuu JF si ya watoto tunaangalia nchi yetu inavyokwenda.
Mkuu, hii ya Malima unaweza kutupatia data zaidi?
Bongolander, unapoufanya ukweli kuwa uwongo kwa kulazimisha, ni jamii ndio inakuhukumu kwa uwongo wako. Huwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote. Chuo Kikuu cha Dodoma kimeanzishwa na JK, na ilikuwa haipo katika Ilani ya Uchaguzi wa CCM. Lakini alitoa ahadi, pindi akiwa Rais ataanzisha Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuanzia na majengo ya Chimwaga. Hivyo hili lilikuwa ni wazo la JK alilitangaza, na pia kulitimiza.
Sasa kusema UDOM ilianzishwa wakati wa Mkapa ni UONGO uliokubuhu, na hauna faida yoyote manake kumbukumbu zipo, kudanganya hakusaidii chochote manake wewe unayedanganya ndio unajiweka katika ujinga uliokubuhu.
Kikwete aliunda tume, na tume ilipomaliza kazi yake Kikwete aliwafukuza kazi wale walioonekana wana makosa katika hiyo tume. Tume pia ilimuona Marehemu Kighoma Malima kuwa ana kosa. Kikwete akasema kuwa amewachukulia sheria wale walio ndani ya uwezo wake, lakini kuhusu Malima hana uwezo naye na anamwachia Rais.
Kikwete ana watoto nane kama ifuatavyo:-
Mke wake wa kwanza Marehemu, Mama Aziza Sabuni alikuwa na watoto wawili, Ridhiwani na Salama.
Mke wake wa pili, Mama Salma (ambaye alimuoa baada ya mke wa kwanza kufariki) ana watoto Miraji, Ally, Khalfan, Mwanaisha na Rashid ‘Chodo'.
Mtoto wa nane ni wa kuasili, alimchukua akiwa mdogo wakati huo pia akiwa Rais na kumfanya ni mwanae, ni mtoto yatima.
Bongolander, unapoufanya ukweli kuwa uwongo kwa kulazimisha, ni jamii ndio inakuhukumu kwa uwongo wako. Huwezi kudanganya watu wote kwa wakati wote. Chuo Kikuu cha Dodoma kimeanzishwa na JK, na ilikuwa haipo katika Ilani ya Uchaguzi wa CCM. Lakini alitoa ahadi, pindi akiwa Rais ataanzisha Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuanzia na majengo ya Chimwaga. Hivyo hili lilikuwa ni wazo la JK alilitangaza, na pia kulitimiza.
Sasa kusema UDOM ilianzishwa wakati wa Mkapa ni UONGO uliokubuhu, na hauna faida yoyote manake kumbukumbu zipo, kudanganya hakusaidii chochote manake wewe unayedanganya ndio unajiweka katika ujinga uliokubuhu.
Nakupata mkuu. Inawezekana kuna tatizo la kuelewa au sijaeleza kwa undani, au sifahamu ukweli. Ninachofahamu ni kuwa architects wa mpango wote wa kujenga chuo Dodoma ni awamu ya tatu, si awamu ya nne. Awamu ya nne walitekeleza tu yaliyopangwa na awamu ya tatu. Kuna baadhi ya wenzetu wanaona kufunguliwa chuo na awamu ya nne maana yake wao ndio wamejenga chuo. Kama lilikuwa ni wazo la JK hakuna ubaya nadhani kwa hilo anastahili sifa, lakini hayo mengine hamna kitu.
Yaani makala hii inaonyesha na kutoa majibu kuwa hafai kuendelea kuwa Raisi - kitaalam tunasema "he has reached a plateau and nothing new will come out of him"