Mambo ya Nguza ni maneno ya mtaani tu ili kikwete afanikiwe kuwafunga alitakiwa kuwahonga wafuatao.Jamani Mutu asante sana mwaya. Ila jamani si ungesema sasa huyo Nguza alimuingilia kwa kimada chake kipi? Au ndiyo maneno ya mitaani hayo? Asante mwaya.
Mambo ya Nguza ni maneno ya mtaani tu ili kikwete afanikiwe kuwafunga alitakiwa kuwahonga wafuatao.
Kwa akili zako tu fupi na ndefu.
Kikwete awahonge wazazi kumi wa watoto walilawitiwa na kubakwa.
kikwete awahonge watoto kumi
kikwete awahonge waalimu wa shule waliotoa ushahidi.
kikwete awahonge madaktari waliodhibitisha kuwa watoto wameingiliwa.
kikwete awahonge majaji
kikwete awahonge wanasheria.
Hivi mnajua ugumu wa kesi za kupangwa kwa kuwahusiha watu wengi?
Tusidanganyane kikwete hahusiki ni fitna za watu kumchafua.
Biography
Kikwete grew up witnessing the exercise of leadership by his grandfather Mrisho Kikwete as a local chief and father as a District Commissioner in colonial Tanganyika and Regional Administrative Secretary and an Ombudsman in post-colonial Tanganyika and the United Republic of Tanzania. He spent part of his childhood moving from one area of country to another as his father was transferred to different outposts. He also spent a better part of his childhood in the village under the guidance of his grandfather. Kikwete became a natural choice for leadership in school and later in the party (TANU and CCM) youth movements.
His leadership talents emerged at early stages in life. He was a student leader both in middle and secondary schools and at the University of Dar es Salaam. He was elected Chairman of the Students Council at Kibaha Secondary School and Deputy Head Prefect at Tanga Secondary School. He became very active in student politics at University. He was eventually elected Vice President of the Dar es Salaam University Students Organisation and de-facto President of the student government at the Main Campus in 1973/74. As a student leader, he spearheaded efforts to fight for student's rights and welfare. He was in the forefront in bringing about awareness and activism in liberation and anti-apartheid politics in the campus and the University community at large. He represented the Dar es Salaam University students and the students and youths of the African continent in several international conferences. Among such meetings were the International Youth Population Conference in 1974 in Bucharest, Romania.
Kichuguu said:Nadhani kuwa jambo kubwa lililoanza kumletea umaarufu Kikwete miaka ya tisini lilikuwa ni insubordination fulani ambapo alitakiwa kuidhinisha nyaraka fulani akiwa naibu waziri wa maji, nishati na madini. Aliona kabisa kuwa nyaraka zile hazikuwa na maslahi kwa nchi akaamua kwenda kumwuliza Nyerere moja kwa moja huko Butiama namna ya kushughulikia nyaraka zile bila hata kumhusisha waziri wake na rais wake Mwinyi wakati huo. Haijulikani Nyerere alimshauri vipi ila alikataa kabisa kuidhinisha nyaraka zile na kuziwekea kizingiti kikubwa sana kwa Raisi Mwinyi, jambo ambalo lilimkera sana bosi wake (Waziri wa maji na nishati) na Waziri wa fedha (Malima.) Hata hivyo kitendo kile kilifurahiwa sana na Mzee mwinyi pia akampandisha cheo kuwa Waziri Kamili wa Maji na baadaye kuwa Waziri wa Fedha. Akiwa waziri wa fedha alibana sana mianya ya misamaha ya kodi na wafadhili(nachukia sana neno hili) wakafurahishwa sana utendaji ule na kurudisha tena imani kwa serikali ya Mwinyi. Kipindi hicho ndipo nyota ya Kikwete ilipopanda sana na kuna wakati Mwinyi alikuwa akiwajibu watu wanaoomba misamaha ya kodi kuwa " Ombi lenu ninalielewa ila sintawasaidia lolote kwa sababu Jakaya mkali"
KIkwete ndiye aliyejenga chuo kikuu cha dodoma kitakachochukua wanafunzi 40,000
Kikwete ndiye amenunua Panton za Kigamboni.
Kikwete ndiye anataka kuleta mradi wa mabasi yaendayo kasi ( nenda ferry) kaone umeenza
kikwete anataka kujenga daraja la Kigamboni
KIkwete amefanikiwa kumaliza mpasuko wa kisiasa Zanzibar
Kikwete ameleta mfumo wa kura za maoni za wanachama wote wa CCM na kuwa chama pekee nchini kuwa na mfumo huu (demokrasia ya kweli)
Kikwete ameweza kuboresha sheria ya madini.
Kkwete kaongeza idadi ya wanawake ambao ni mama zetu katika uongozi.
Kikwete kaimarisha takukuru hadi ikakamata wanaCCM wenzie.
Kikwete kaleta uhuru wa vyombo vya habari, mfano, hapa JF tunazungumza kwa uhuru bila bughuza.
Hadi jana usiku,nilikuwa sijashawishika kuchangia ninachojua katika CV ya Jakaya Kikwete.Lakini baada ya HABARI LEO "kufungulia mbwa" basi acha nasi tueleza tunachojua kumhusu mgombea urais kwa tiketi ya CCM (KIkwete).
Mambo matatu ambayo NINA UHAKIKA NAYO ni kuwa Kikwete alikuwa na uhusiano na mwanamke mmoja Kinondoni Mtaa wa Isisi.Mwanamke huyo alikuwa mwenza wa mkandarasi mmoja maarufu anayesifika pia katika sanaa ya self defence.Hatimaye mkandarasi huyo alishtuklia uhusiano kati ya mwenza wake na Kikwete na wakaachana (lakini kwa uungwana akamwachia nyumba hapo Kinondoni anapoishi na mwanae).Jirani na mamakzi ya mwanamke huyo kuna grocery moja maarufu ambapo habari hiyo inafahamika waziwazi,na Kikwete ameshaonekana mitaa hiyo (kabla hajawa rais)
La pili ni kwamba Kikwete amezaa na dada mmoja mtu wa Botswana.Huyo dada ni katibu muhtasi katika kampuni moja binafsi ya sheria iliyopo East London hapa Uingereza.Mmiliki wa kampuni hiyo ya sheria ni mwanadada mmoja wa Kinigeria.Jina la dada huyo aliyezaa na JK na la mwanaye nayafahamu pia.
La tatu ni mambo ya kienyeji.Wakati wa kampeni zake za uchaguzi 2005 alikuwa anamtembelea mganga mmoja eneo la Kiberege wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.
HAYO NINA UHAKIKA NAYO.Tetesi nilizowahi kusikia ni kwamba ana uhusiano na binti mmoja huko Marekani,na huyo dada anatangaza waziwazi kuhusu hilo.Sina uhakika na mji anaoishi japo habari hizo zinafahamika waziwazi hapo Houston,Texas.
Tetesi nyingine ni uhusiano wake na mwanamama mmoja aliyemteua kuwa balozi kwenye nchi flani "muhimu".Inadaiwa kuwa mume wa balozi huyo anafahamu uhusiano kati ya mkewe na JK lakini hachukui hatua yoyote kwa vile naye ni "kiwembe" (inadaiwa mume wa balozi huyo alikuwa na uhusiano na mbunge mmoja aliyekuwa nchini humo kimasomo.Mbunge huyo anatoka jimbo moja kanda ya kati).
Kadhalika,kuna habari kuhusu dada mmoja aliyekuwa kimada wa Kikwete kabla hajapata urais.Inaelezwa kuwa dada huyo alikuwa anakaa magomeni.Sikumbuki vema jina ila nadhani ni MARY or something like that.Dada huyo kwa sasa ni marehemu na inafahamika alifariki kutokana na maambukizi ya upungufu wa kinga mwilini (ukimwi).Kifo cha binti hiyo kinatajwa kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea JK kudhaniwa anaumwa ugonjwa huo (na mwenyewe akakanusha-BILA KUULIZWA-huko Dodoma)
Kuna mengine nayafanyia kazi,lakini kwa leo ni hayo tu.I repeat,NINA USHAHIDI WA HAYO MATATU YA KWANZA.
Ina maana Ridhiwani si mtoto wa Salma? Salma na JK wana watoto wangapi? Na hao wengine mama yao ni nani? Je mke wake wa kwanza bado yupo au walitalikiana na kama kuna data zozote?
Mama yao kina Ridhwan, Salama na Miraji anakaa Dodoma, Salma na Mh wana watoto wa nne kama sikosei.
Hivi viungo wanaume wamepewa bure, inaelekea havitawaliki hata kwa mtutu wa bunduki! Segere la uchaguzi mwaka huu linaandika historia mpya
Call Black Black and White White!
MODs watanifungia Mkuu wangu. Na kufungiwa kipindi hiki cha uchaguzi ni adhabu mbaya sana. Ila nimeeleweka namaanisha ile 'Fimbo ya Baba'
KIkwete ndiye aliyejenga chuo kikuu cha dodoma kitakachochukua wanafunzi 40,000
Kikwete ndiye amenunua Panton za Kigamboni.
Kikwete ndiye anataka kuleta mradi wa mabasi yaendayo kasi ( nenda ferry) kaone umeenza
kikwete anataka kujenga daraja la Kigamboni
KIkwete amefanikiwa kumaliza mpasuko wa kisiasa Zanzibar
Kikwete ameleta mfumo wa kura za maoni za wanachama wote wa CCM na kuwa chama pekee nchini kuwa na mfumo huu (demokrasia ya kweli)
Kikwete ameweza kuboresha sheria ya madini.
Kkwete kaongeza idadi ya wanawake ambao ni mama zetu katika uongozi.
Kikwete kaimarisha takukuru hadi ikakamata wanaCCM wenzie.
Kikwete kaleta uhuru wa vyombo vya habari, mfano, hapa JF tunazungumza kwa uhuru bila bughuza.