Kikwete+ikulu /mnunuzi wa dowans=?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete+ikulu /mnunuzi wa dowans=??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AKYOO ELIUD, Jun 5, 2011.

 1. AKYOO ELIUD

  AKYOO ELIUD Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Inashangaza sana lakini kweli, rais kikwete leo kakutana na mkurugenzi wa kampuni iliyonunua mitambo ya dowans, hivi kweli kwa mauzauza na kichefuchefu cha RICHMOND na baadaye DOWANS rais anaweza je kumkaribisha mtu mwenye mahusiano ya kumiliki kampuni tata ikulu, mbona kuna maeneo mengi tu ambayo wange weza kukutana na kujadili hayo mambo yao. Sidhani kwamba kuna mtanzania ambaye atasikia jina RICHMOND/dowans akufurahi?????????????!!!!!!!!!!! hivyo sidhani kwanba kiilichotokea ni sahihi
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wee rais mzima unahangaikia vidili vidogo hivyo mwachie ridwan
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  La kushangaza zaidi kabisa ni kwamba wakati symbion ikijaribu kujipatia tenda kutoka tanesco, wanakutana na rais tena ikulu je hiyo inatoa picha gani kwa viongozi wa tanesco wanaotarajia kushughulikia issue yao?? Maofisa wa symbion wanaitumia ikulu na jk mwenyewe kuwalazimisha tanesco kiana kupitisha dili lao.
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Symbion tayari ina tenda Tanzania. Uko wapi wewe??
   
 5. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kaka Upo wapi?
  Mtambo Umeshawashwa Tangu Ijumaa Juzi!Kimsingi Symbion Tayari Inafanya Kazi nyingi na TANESCO sasa!Ila Umeme wa Symbion Ulishaingia Grid ya Taifa tangu Ijumaa!
  Kwenye Richmond/Dowanz Zingine Zilikuwa Chumvi na Porojo!Sie twata Moto
   
 6. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwa mujibu wa taarifa ya habari leo usiku Itv symbion wameshawasha mitambo yao tangu juzi!.kwa lugha nyingine Dowans inalipwa tena na Tanesco.
   
Loading...