Leo hii unammiss,mnafikiHataki watu wajue alipewa suti hana lolote au île habari ya mwanaye na drugs imemuuma
Leo hii unammiss,unafiki bwana,!!Sisi ndiyo wenye nchi, watoto wetu wanauza madawa ya kulevya, sisi tutatawala milele.
Zote hizo ni siri za nchi.
Shughuli ya Kinana ni siri ya nchi, wananchi hamtakiwi kujua.