mwacheni77
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 763
- 209

Kwanza hapo kwenye red; Mahakama ya Kazi ipo na inatambulika kikatiba. Hivi kwa maelezo yako, kati yako na mimi nani mbinafsi? Yaani wewe unataka serikali iingize ibada zenu kwenye katiba ya nchi, huo sio ubinafsi ni nini? OIC? Kasome na pia weka Katiba ya OIC hapa wanajamii waone kilichomo. Acha kukurupuka!

Wasomi mahiri kina Prof. Dr. Ibrahim Juma bingwa wa Sharia na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha sheria wameona na wakakubali yote hayo itakuwa wewe.

Kuhusu red hilo halina mjadala ni kadhi na sio kazi but kuhusu ilo unalisema bado haingii akilini kwa msomi mmoja unayemsema ww na ss tuungane nae kama hivyo kila litaloongelewa na msomi lisiletwe humu ndani cos halijadiliki,kuchangiwa au kukosolewa,na sisitiza ubinafsi wa baadhi ya watu ndio unaolikwamisha hili jambo na wala sivyo unavyosema ww,rasilimali ya hii nchi kuendesha mahakama ya kadhi ww unaona shida sana but kuliwa na wachache kwako ww ni ufahari