wazee watamsikiliza tu ila wangetokea wazee jasiri wamkampa ukweli wake ingekuwa kazi kweli kweli. Harafu wazee wa east africa hawapo waende huko? maana wale lazima wangempa ukweli wake.
Hashim Thabit, yes na Picha yake? Lol na Yebo Yebo kutoka China.
Heshima kwako N-handsome,
Mkuu bado sijakuelewa hapa ?.